majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  2. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto akilelewa na Mama pekee au upande wa Mamaake apewe majina ya Ukoo wa mamaake

    MTOTO AKILELEWA NA MAMA PEKEE AU UPANDE WA MAMAAKE APEWE MAJINA YA UKOO WA MAMAAKE. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Nawaamrisha Binti wote wa Tibeli, Wajomba, na Babu na Bibi ambao binti zenu walizaa watoto kisha wakatelekezwa, wakaachwa, na Baba zao. Mkawalea ninyi wenyewe. Huku Baba zao...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Majina 7 yanayopewa nafasi ya kumrithi ten Hag ndani ya Man United

    Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United. Gazeti la The Sun...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

    Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga. Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vikosi vya uokoaji: Majina ya mamlaka muhimu kama TMA yasitumike

    Kumekuwa na mazoea ya kutumia majina ya mamlaka muhimu kama TMA, GST, polisi nk katika mazoezi ya utayari kama ndiyo vyanzo vya taarifa za kufanya mazoezi hayo. Kwa ujumla habari hizi huleta taharuki kwa wananchi na kuwasababisha waache kufanya shughuli zao. Athari ya habari hizi kwa wananchi...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

    1. KIMARA BARUTI Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI" Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400 tu. Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement...
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala? Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?
  11. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

    Habari wanajf The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana. Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana, Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
  18. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  19. Termux

    JamiiForums Tanzania Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
  20. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
Back
Top Bottom