Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake lakini aliibuka kidedea kiasi kwamba clouds walimuomba msamaha.

Diamond itakuwa kagoma mabadiliko mapya ambayo yanampunguzia gawio ama kaona wasafi media inaingiza mtonyo mrefu sana kaomba aongezewe gawio ila wenye mzigo wamenuna, ni mambo yaale yale ya clouds ambayo ana uzoefu nayo.

Shida itakuja kwa wasanii ambao watafungua radio au vituo vya tv kwa kutegemea majina tu bila business skills na experience, wasanii hawa hata clouds walikuwa wanapelekeshwa si ajabu hata huku wataburuzwa, maboss waliotia mzigo watawa cotroll kirahisi sana kutii amri zao,
 
Diamond bado ngomaa hijachemka ngoja watoto wake waanze kubalehe na kuvunja ungo na kwenda collagee ndio tutaona matumizi yake ya pesa yatakapomfikisha
 
Back
Top Bottom