majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  2. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vimbunga Vina Majina Kama HIDAYA!

    Kwa ujumla, vimbunga vya kitropiki vinapewa Majina kulingana na Jamii ya Ukanda Husika. Ni muhimu kutambua kwamba vimbunga vya kitropiki havijapewa jina la mtu fulani, wala kwa upendeleo wowote katika mfuatano wa kialfabeti. Mchakato wa kuamua majina kwa dhoruba/Vimbunga vya kitropiki unafanywa...
  3. Analog

    JamiiForums Tanzania Kwanini vimbunga vingi vina majina ya kike?

    Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo. Inafikirisha kwa kweli.
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa kuchukua hatua kwa Mameneja wazembe TEMESA, ataka majina kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

    Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena. Sasa, hizi za kwenye kwapa...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini. 1. CPA. William E. Mtinya Director, Corporate Services Department. 2. CPA. Elikana P. Buremo...
  8. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964. Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Movie za Marekani uwa zina Majina fulani hivi ya Miji ambayo yanasadikika kuwepo

    Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano.. Hogwarts muvi za Harry Potter. Asgard muvi za Thor. The Land of Oz. Pandora muvi za Avatar. Narnia muvi za Narnia. Super Mario. Disney Land Middle East. Wonderland. Mushroom Kingdom. Ushawahi kugoogle hii miji in real world...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dhana ya majina ya sifa/ utambulisho

    Hapa nazungumzia majina kama Mheshimiwa, Mstahiki, Daktari (Dr.), Mhandisi (Eng.) Wakili Msomi (Adv.), Mwalimu, Mkadiriaji majenzi (Arch.), Muhasibu (CPA), Mkemia; na mengine mengi kadiri yanavyoongezeka! Tulipotoka huko zama za Ujamaa, Watanzania wote tuliitana "Ndugu", bila kujalisha wadhifa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

    Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Majina ya Ali (Ally) Katika Historia ya Kupigani Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana. Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa. Ali Masham alifungua tawi la TANU nyumbani kwake na tawi hili lilifanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

    Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni. Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?
  18. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

  19. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni - tumsifu😀 Gwamaka- mwenye nguvu Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
  20. N

    JamiiForums Tanzania List ya nyimbo zilizopewa majina mazuri lakini zikaimbwa hovyo hadi kushangaza!

    1. Zanzibar ya Harmonize. Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
Back
Top Bottom