maisha

  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuwa na Maisha kama ya Libya kipindi cha Muammar Gadafi

  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  3. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Watoto wakikukataa mzazi achana nao upambana na maisha yako

    Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo. Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama...
  4. Transistor

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

    JF nimejiunga miaka 12 ilopita. Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa. Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
  5. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuko hapa? Nini kimetokea baada ya Waafrika kuchukua mamlaka?

    Maisha ya mwafrika kama ambavyo yalivyo maisha ya jamii nyingine duniani yamepitia zama mbalimbali muhimu. Kuanzia zama za chini kabisa za maendeleo mpaka hii ya leo aliyomo, hizo zote ni muhimu kwa mtu kujifunza na kukua. Jambo lililowazi na muhimu, katika zama zote hizi, ni 'Kukua'. Hii...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,. Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum. Picha kwa hisani ya mtandao.
  8. Lanlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa langu ni kuamua kuishi maisha yangu

    Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga. Binafsi nimewahi kupitia changamoto za kukataliwa na watu wangu wa karibu. Kila nilipojaribu kuwa mwema kwao...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada? Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
  10. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  12. ONJO

    JamiiForums Tanzania Maisha na Falsafa yake

    SEHEMU YA 1 Maisha ni mda anaoishi mwanadamu toka kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake. Tena maisha yanasifa moja kwa kila mwanadamu kama ifuatavyo, watu wengi wamekuwa wakisema kuwa maisha ni magumu kwa sababu ya changamoto nyingi kama, Kukosa chakula,kutoolewa,kusalitiwa,ajari za ghafla,magonjwa ya...
  13. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui

    NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO 1. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa...
  14. ryaniza

    JamiiForums Tanzania HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  15. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

    Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
  17. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Usalama wa taifa aliyeikimbia nchi, aeleza maisha magumu ambayo Putin anaishi

    Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
  19. marehem x

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Wanajeshi 6 wafungwa jela maisha kwa kumuua Balozi wa Italia

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata. Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
Back
Top Bottom