maisha

  1. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Anaandika, Robert Heriel Acheni kabisa, yaani kuna mtu kwenye mahusiano ukiachana naye hesabu umekula hasara ya Maisha. Achana na hawa wajingawajinga wanaowaza uchi wao, uchi kitu gani bhana! Uchi hata Malaya anao. Kwani ni Mwanamke gani asiye na uchi? Kwa kweli uzoefu wangu Mwanamke Hana...
  3. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

    Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

    Habari za mihangaiko wanajamii, Hivi karibuni nafikiria kwenda Zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality. Kwa wenyeji na wazoefu wa Maisha ya Zanzibar Je, Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi)...
  5. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

    Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muda unaotumia kwa shughuli mbalimbali katika maisha yako yote

    Kulala: miaka 26 Kazi: miaka 12 Kuangalia TV: miaka 8.8 Ununuzi: miaka 8.5 Kula na kunywa: miaka 3.6 Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2 Mitandao ya kijamii: miaka 3 Mikutano: miaka 2 Utayarishaji: miaka 1.5 Kusafiri: miaka 1.5 Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25 Mazoezi: miaka 1.2 Katika baa na...
  7. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya wengi

    MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa. BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako. RAFIKI YAKO: Kaka ,fedha yangu lini unanipa? Ni mwisho wa mwezi Sasa...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti? Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
  11. son_african_star

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto pekee inayoyakumba maisha ya wengi

    Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu. Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki. Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

    Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi. Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
  13. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

    Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa. Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli. Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
  15. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wastaafu: Pesa za pensheni siyo za kufanyia biashara kama unataka kuishi Maisha marefu

    Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu. Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Furahia maisha na Marafiki (video)

    Watanzania hufurahi pamoja katika nyakati zote
  17. Mjegejo Wa Begeju

    JamiiForums Tanzania Dogo namwona hayupo Serious na Maisha kabisa. Nataka nimfukuze Home

    Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje? Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maisha magumu, lakini tumia kanuni hii 50%+30%+20 kuyalainisha

    50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto. 30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
  20. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
Back
Top Bottom