maisha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa Maisha

    Mimi ni kijana wa kiume 29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo 1. Umri 22+ 2. Dini (Christian) mcha Mungu 3. Location - Tanzania Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Tulitangaziwa kufutwa kwa tozo ila nimekatwa tozo

    Wadau juzi juzi hapa tunetangaziwa rais kafuta tozo. Cha ajabu bado kuna kodi ya serikali kwenye miamala. Ninetoka kutoa Airtel money nimekatwa tozo.
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

    Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites. Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  8. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Mambo niyaogopayo kwenye maisha

    Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa. 1. Uzinzi (uasherati) 2. Kula jasho la mtu 3. Kumuuzunisha mtu Sijui nyie wenzengu mambo yepi kwenu mna yaogopa Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi Extrovert
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  10. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

    Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu nilishtuka sana nilipofika hospitalini siku moja kwa issue ingine na dokta kunipima presha kwanza kisha...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

    Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya. Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu. Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  15. Gill Rugo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unamuwajibishaje mtu anayemiliki maisha yako?

    Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°. Ilikua hivyo pia kwa Martin Luther King. Alikufa kwa ajili ya haki za watu weusi lakini 2020 Derek...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Haya maisha sio poa kwakweli

    Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki)

    Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki).
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

    Vilio vya Ukata na Biashara kupromoka vimeanza kusikika kutoka Chato kufuatia Mji kubakia magofu 😁😁 My Take Tuliwaambia lakini hamkusikia johnthebaptist ona Sasa mataa yanaongoza baiskeli 😁😁 “Mara ya mwisho kushuhudia wageni wengi na kupata hela nyingi ni wakati wa msiba wa Rais Magufuli”...
  19. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
Back
Top Bottom