Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...

01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi

Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa kupigana na taifa.

Vyanzo vingi mbalimbali vya kivita.

Serikali za kifalme zilifanya mambo gani hapo zamani.

Visa vya vita kubwa hapa duniani na sababu zake.

watu wenye nguvu na ukuu.

Mali au utajiri umeleta mfalakano makubwa sana kati ya mtu na mtu.

Mabadiliko ya hali ya hewa njaa na majanga tofauti tofauti yameelezwa.

02. Nielezee kidogo uumbaji wa mwanadamu ulikuaje kwa Mujibu wa biblia.
Mwanzo 1:26-27

[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Hii sura ya Kwanza ni roho ya mwanadamu ndio ilifanywa na Mungu.

Lakini katika sura ya pili ndio tunaona Mwili ukitengenezwa.
pamoja na nafsi.

Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

kwahiyo.
Binadamu ni
01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.

Ukiwa na elimu hii ni mwanzo mzuri sana wa kujua vitu vingi kuhusu...

Mambo ya rohoni na Mambo ya mwilini au
Ulimwengu wa roho na Ulimwengu wa mwili.

Sijui kama kuna kitabu kingine chenye majibu mengi sana ya maswali yangu na wengine pia kama mnamaswali.

Kama kutakua na kitabu kingine ningependa kukifahamu niweze kukisoma pia.

Uwe na Amani na furaha nafsini.

Don't forget to Meditate 🧘‍♂️
 
Unasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.

Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?

Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni research nimefanya, kama kuna kitabu kingine kama reference unakaribishwa kukitaja.
Tusome kwa pamoja.
 
Biblia ni kitabu Cha pekee sana.

Ukisoma kwa KUONGOZWA na Roho mtakatifu. Utakutana na Historia ya Dunia na Kila kitu.

Dhambi.
UKOMBOZI.
Kuja kwa Mpinga kristo.
NABII WA Uongo.
KUMUABUDU MNYAMA.
Kuanzishwa kwa DINI ya Uongo
UFALME wa Mbinguni nk.
 
Nilijifunza elimu ya siku za mwisho, nimeona vitu vingi sana na nikagundua usipokua msomaji ni rahis sana kupata elimu ya uwongo bila kujua.
 
Niambie jinsi ya biblia imeonyesha namna ya kufanya ibada?

Niambie wapi biblia imeonyesha namna ya kufunga ndoa na kugawana mirathi?

Nionyesha katika adabu na taratibu za binadamu kama kula ,kulala, kutembea Na mambo ya kili siku kupitia bible?

Nionyeshe sayansi ya binadamu kupitia biblia kwa mfumo wowote ule ?

Biblia haiwezi kuwa katiba wala muongozo wa mwanadamu kwa saba mbu haiendani na matakwa ya kibidamu na haina mfumo complete wa maisha ya binadamu.

Ndo maana leo kuna watu hata kuchinja hayaruhusi kisa wanafuata bible sasa wakulajd nyama?

Ishu ya ndoa ambayo ni pana kwa zama za sasa kuvunjika ndoa ila unaambiwa 😂😂ndo ni milele mpaka watu wanakuja kuuana kabisa .

Wanaume wasioe au waoe wanawake wachache ,ilihali kimatakwa ya binadamu hususani mwanaume kamili ni ngumu sana asioe au awe na mke mmoja ,hili tunaona huko mitaani.
 
Niambie jinsi ya biblia imeonyesha namna ya kufanya ibada?

Niambie wapi biblia imeonyesha namna ya kufunga ndoa na kugawana mirathi?

Nionyesha katika adabu na taratibu za binadamu kama kula ,kulala, kutembea Na mambo ya kili siku kupitia bible?

Nionyeshe sayansi ya binadamu kupitia biblia kwa mfumo wowote ule ?
Twende taratibu kimoja kimoja.
Tuanze hilo la kwanza, tukienda haraka hatutoweza kuelewana.

Mungu anatutaka sisi kumtumikia (kumtii) na kumuabudu (ibada)

Hii ni nafasi nzuri nataka tujadiliane kwa pamoja, tulinganishe Biblia na Quran ipi inaweza kuwa na namna bora ya ibada.

mimi nitaelezea kwa kutumia Biblia wewe utaelezea kwa kutumia Quran kisha tutafanya uchambuzi.
 
Twende uwanja huu hapa
 
Pia anza kueleza ibada ni n nn? then nifungue vault hapa nionyeshe .
 
Unasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.

Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?

Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Biblia ndio asili ya hivyo vingine vimekopi na kuedit tu
 
Biblia inasema Mungu amemuumba Mwqnadamu kwa mfano wake
Jee Mungu alikuwa
Mweupe
Mweusi
Mwanamke
Mwanaume
Mrefu
Mfupi
Mwafrika
Mzungu
Mwarabu
Mchana

Jee kwa mfano labda Mungu alikuwa Mzungu akamuumba Mwanadamu kwa mfano wake ambaye ni Mzungu, jee Binadamu ambaye siyo Mzungu ni Binaadam TIMAMU.
Huoni kwa kauli hiyo Biblia inaweza kupanda mbegu ya ubaguzi. ???
 
Nafikiri hii kauli usichukulie literary... kumbuka Mungu ni roho.. hana nyama na damu kama sisi....
Nafikir hyo kauli ina maana tuna sifa kama za Mungu au tunaweza kuziiga.. sifa hzo ni kama upendo, haki, fadhili, wema, na utashi ambao haupo kwa viumbe wengne.
 
Kilichoumbwa kwa mfano wa Mungu ni Roho, sio Mwili.
Mbona uzi huu umejibu swali lako.
 
Ibada ni lile tendo la Kuabudu.

Kuabudu maana yake ni - hisia au maonyesho ya heshima kwa Mungu.

Nimegoogle mkuu.
😂😂sio ibada maana ya ibada ni kufanya kitu Chochote kwa kumnyenyekea mwenyewe Mungu..

Yaani ndo maana wewe ukitaka kulala lazima umuombe ,hata ukitaka kula basi kulala ,kula na matendi yote unapomuhusisha Mungu ni ibada..

Kutembea ni ibada, kula ni inada, kufanya tendo la ndo ni ibada.

Tofautisha ibada na sala
 
Hii elimu umetoa wapi ?

Yani mimi nikitamani kunywa bia, basi kitendo cha kunywa bia nakua nafanya ibada shehe ?? 🤣🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom