Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia.

Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya wananchi yawe kama yale ya wale waliomzunguka meza ya mbele, hakupumbazwa na wale aliokaa nao meza moja mbele kukadhani na maisha ya wananchi yapo kama ya wale aliokaa nao pamoja meza kuu.
 
Kama mkichagua tuh upinzani msahau kabisa kuhusu maendeleo hapa,yaani mchague upinzani kisha niwaletee maji??
 
Dada yako ndio ameamua kabisa kutugeuza watumwa ndani ya Tanganyika yetu, huku majuha wa sampuli yako mkishangilia.

Yaani mimi nikuteue uwe mkurugenzi kisha utangaze ushindi kwa mpinzani??

Mshahara nikulipe mimi,gari nikupe mimi,nyumba nikupe mimi kisha utangaze mpinzani kashinda uchaguzi??
 
Bora huyo kuliko mmakunduchi aliyetugeuza watumwa ndani ya nchi yetu.

Umesahau dadako nae aliwahi kusema akiwa Mbeya, hata mkichagua wapinzani, ushindi watapewa wao..
Maendereo hayana chama,njooni mjiunge huku CCM niwaretee maendereo.

Au nasema uongo ndugu zangu??
 
Hakuwa na huruma yote,msafara gharama zingetatua hizo shida za hao wanyonge.
 
Back
Top Bottom