Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

ryme

New Member
Jun 6, 2023
2
11
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.

Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa muislamu itapendeza zaidi.
3. Ajitegemee kiuchumi na awe na awe na mtazamo chanya kiuchumi.
4. Awe mwenye utu na ajue thamani ya upendo na awe tayari kuingia kwenye mahusiano.
5. Nitapendelea zaidi akiwa na mwili wankawaida na kimo Cha kawaida.
 
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja...
Legeza masharti hasa dini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom