maisha

  1. Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
  2. Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

    Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa. Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya . Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako. Elewa...
  3. Aina ya Watu 5 Watakaoharibu maisha yako. Jitahidi kuwaepuka

    1. Mtumiaji: watakupenda tu kadri wanavyoweza kukutumia, lakini punde tu usipowapa tena kile wanachotaka kutoka kwako, walitoweka. 2. Walalamikaji: Wataiba amani yako, furaha kwa kulalamika kuhusu jambo lile lile ambalo hawako tayari kubadilika bali wanataka ubadilike. 3.Walaumiwa...
  4. Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine. Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
  5. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  6. Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  7. P

    Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao. Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada...
  8. B

    Mahojiano na Mzee Malebo: Safari ya Maisha yake / kukataa kuokoka / Urafiki na Pastor Munishi

    MAHOJIANO NA MALEBO Ma-Label Interview matata sana hii inatupa picha Tanzania ilikuwa nchi ya aina gani, gharama za maisha, na kwa ujumla jamii iliishi vipi kusaka maisha https://m.youtube.com/watch?v=s-8ms_N8IDU Mzee Mabelo jina halisi Ndeanka mwenyeji wa kutoka Kilimanjaro Tanzania...
  9. Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland? Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
  10. Siasa za CCM ni kama Maisha ya Nyoka, kujichubua na kutaga mayai

    SIASA ZA SISIEMU NI KAMA MAISHA YA NYOKA, KUJICHUBUA NA KUTAGA MAYAI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Aliyesema SISIEMU itadumu daima hakusema kwa bahati mbaya. Alisema huku akijua kuwa Ukoloni upo na mpaka leo unadumu. Ili SISIEMU ife itahitaji Ukoloni nao ufe. Nazungumzia Ukoloni wa wale...
  11. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  12. F

    Kwenye biashara usiogope majina makubwa yaliyokutangulia; Hill water, mabasi ya Tilisho ni somo kubwa la kuingia sokoni ukiwa mpya

    Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja. Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
  13. Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

    Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana. Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana. Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda...
  14. Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  15. Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  16. M

    Maisha sio mstari mnyoofu, kona zisikufanye utoke mchezoni

    Kinachotutesa wengi ni kuishi kwa imani kuwa maisha ni mstari mnyoofu na hili sio tu tumelijenga sasa la hasha! Bali hata mifumo ya malezi inachangia hilo. Kuna ambao wamelelewa kwa kuaminishwa kuwa vitu hupatikana kwa wakati ule watakao hivyo kufanya ukubwani watu wapate shida sana pindi...
  17. Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  18. Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    Based on true story: Nakumbuka graduation yangu na washkaji zangu ilikua na mvuto sana pale mlimani city hall mwaka 2017 ,niliona baada ya muda mfupi tu basi ningepata mchongo mzuri na ningevuta usafiri unaosomeka crowm new model within the year(s) JK alitoa hamasa kwa vijana wakapambane na...
  19. Jordan na Marekani waambiwa wasifanye utani na maisha ya watu. Wadondosha vifurushi vichache vya chakula bila maji

    Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo. Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
  20. Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…