maisha

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni; Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
  2. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania SOMO LA MAISHA

    Nekta ya Maisha Halisi: Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake kwa miaka 3, lakini walipoachana, hakumtaka aondoke nyumbani kwake, alikuwa na wasiwasi kwamba angeishi katika kiwango cha chini, kwa hivyo alimwachia nyumba ya ndoa na kwenda kupanga. nyumba ndogo karibu naye. Pia alikuwa...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nini haswa ndio hisani ya mwelekeo wa maisha yako?

    Je ni; 1: Juhudi, Maamuzi na Muda 2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa) 3: Bahati (ngekewa) 4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa) 5: Mapenzi na Kibali cha Mungu 6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu. 7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako Karibuni
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
  6. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  8. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magonjwa yasiyoambukizwa yatokanayo na mfumo wa maisha janga lililogeuziwa kisogo, iwekwe mikakati imara kupambana nayo

    Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
  9. Edson Eagle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nimetamani sana ile dhana ya mfumo dume iendelee ili kunusuru kizazi cha baadaye

    Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine. Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini YouTube Channel ya JamiiForums imedoda?

    [salam inakuaga hapa] Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana. Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  13. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi ila vijana tujitahidi kutunza pesa

    Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe kifo sio jambo rahisi hivyo kuondoka duniani hiyo yote watu hawapati muda wakutembelea wagonjwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wanaoishi maisha simple (kuvaa, kuzungumza, kimuonekano, n.k) wanaheshimika zaidi kwenye jamii ?

    Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi. Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

    Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni. 1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo. 2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani. 3.samaki...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  18. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuishi Maisha Ya Kitajiri Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata. Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
  19. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi? Hii...
  20. Gilbert Prudence

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
Back
Top Bottom