maisha

  1. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usithibutu kuitwa na mwanamke nyumbani kwake ukakimbilia kwenda!

    Mmmh, Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant. Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu lakini, kumekucha kufika tukasema tupige ka kvant kamwisho kadogo tukanza shuhuli. Mdada akandanganya...
  3. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na nchi nyingine ongezea. Bongo sitaki, Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
  4. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

    Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
  5. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya sirini

    MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
  6. Berlin

    JamiiForums Tanzania Najihisi kukata tamaa lakini sitokata, nitapambana

    Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msijizuie kuja Marekani, maisha mepesi tu

    Wala siwezi kuwa kama wengine wanaowatisha watu kuwa huku maisha magumu. Mgumu ni wewe. Vitisho mnavyosikia kuwa maisha ya Marekani ni magumu, ni sawa na vitisho vya watu wa Dar kwa watu wa mkoani kuwa Dar maisha magumu. Ila kiukweli ukienda Dar ukiwa na mishe za kufanya, mambo ni mepesi tu...
  9. Hharyson

    JamiiForums Tanzania We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  10. 650

    JamiiForums Tanzania Elezea hali yako now kwa emoj Moja tu

    Naanza Mimi: 😁 = Chewaa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

    Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
  13. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Maisha haya

    Ugumu WA maisha unafanya tuonekane hatuna mapenzi ya kweli
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  15. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unajiandaaje na maisha ya uzeeni?

    Uzee ni umri wa kuwa tegemezi kama mtoto mdogo, kama katika ujana wako ulijipanga vizuri na kujiwekeza vya kutosha katika rasilimali fedha, miradi, na watu n.k uzee kwako hautakuwa kero kwa wengine. Tofauti na hapo, utakuwa unawaachia laana kwa wale wote watakao kuwa tofauti na matakwa yako...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Short story ya maisha ya jeshini

    Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Watu 132 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko

    At least 132 killed in Sudan flooding: health ministry At least 132 people have died in war-torn Sudan as a result of flooding and heavy rains this year, the health ministry said Monday. The country has experienced an intense rainy season since last month, with intermittent torrential flooding...
Back
Top Bottom