Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi..
Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi.
Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza...
Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure).
Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba...
Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani,
Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana,
Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI...
Wakuu,
Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish...
Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.
Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990,
Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea.
Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50...
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.
Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu.
Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana...
Jioni hii ya tarehe 21th march, nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo.
So live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike.
Ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga...
Sikiliza akili kubwa kama ifuatavyo:
Dunia hii imejaa mitihani mingi sana yaani tangu unazaliwa mpaka unarudi six feet under;
Utakabiliana na mambo mengi, kwa kuchagua au kwa lazima;
Utapoteza wapendwa na wapenzi wako;
Utaumwa na kuugua maradhi yanayotibika na yasiyotibika;
Utashutumiwa na...
Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know.
Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.
Chumvi kapata chombo ya ukweli.
---
NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE
Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje...
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni wajibu wako kufanya hiyo ili maua yakue na kustawi.
Changamoto ni burudani kama zilivyo burudani ni...
KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote
Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati?
Soma:
- Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini.
Msosi shida, usafiri shida, nyumba shida, maji shida, yaani kila kitu shida. Hii imepelekea what we call suffering ndo imekuwa furaha ya wakazi wengi wa vijijini.
Watu wanaishi tu ili mradi siku...
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations
2.Mitindo ya malezi, maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.