Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri!
Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake!
Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
Miaka ya karibuni kumeibuka kasumba ya wazazi wengi kupeleka watoto shule za mchepuo wa Kiingereza sababu ikiwa ni kuwafanya watoto waweze kuzungumza Kiingereza vizuri. Ada ya mtoto wa chekechea ni zaidi ya ada ya chuo kikuu. Najiuliza kwa hali hii ya maisha ilivyo sasa kwa nini kutumia gharama...
Ni ukweli usiopingika kuwa gharama ya maisha imeongezeka sana na kuna malalamiko kila kona. Mitaani watu wanalaumu . Ni kweli vita vya Urusi dhidi ya Ukraine ndo imepandisha bei kwa kiasi fulani kama ingependeza Mhe. Rais angejitokeza hadharani kwenye vyombo vya habari kuelezea athari ya...
Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo.
hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu.
karibuni wenyeji
Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy
Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi?
Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza, ambao kila mmoja aliacha shule ili kufanya shughuli za kujiingizia kipato kusaidia wazazi wao, wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo yao katika Shule ya Sekondari ya Ocean iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mtwara.
Mmoja kati yao ni Taufiq Hamis...
Moja ya mambo ambayo binadamu hukaa na kufikiri ikiwemo mimi ni juu ya swala la hatima ya maisha.
Ushawahi fikiri kuhusu imani ambayo unaamini kuwa Mungu Yupo na anaweza ghafla ukawaza tena kwanini Shetani aitwe Mungu wa ulimwengu huu je nikiwa mtakatifu alafu nikifa hakuna hata imani moja...
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi.
Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana.
Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo.
Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa wilayani Rutshuru katika jimbo la Kivu Kaskazini.
Sita kati ya waliofariki walikuwa wanajeshi kutoka...
Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.
Asante
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
Natamani kuishi Ukraine kwenye vita mana kule hakuna umbeya umbeya mitandaoni....
Huku bongo mara huyu katoka na huyu... Mara Steve sijui kafanyaje... Mara huyu katupia utupu wake.... usipotembelea gar utambia masikini, mara umefirisika....
Mara post kali zakina Mangekimambi na kigogo ...
Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine.
Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako hutafurahia maisha wala hutaifaidi dunia ipasavyo. Pesa tu ndio ikufanye usiende mataifa mengine...
Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro.
Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro.
Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia.
Elimu hiyo...
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.
Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.
Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.
Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.