maisha

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Mjumbe Hauawi Sikiliza Chukua Hatua Okoa Maisha

    Ndugu Wanajamvi, clip iko inajieleza
  2. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

    Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili - waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja na mauaji, wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 katika Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Sengerema...
  3. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Latvia 2019-2022

    Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
  6. dubu

    JamiiForums Tanzania Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  7. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  8. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  11. Rangooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Gh
  12. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Ni Uovu gani mkubwa zaidi kwenye Maisha ya Mwanadamu?

    Matendo ya mwanadamu yamegawanyika katika makundi mawili nayo ni matendo ya Nuru (Good Deeds) na matendo ya Giza yani (Evil Deeds). Evil Deeds - Actions that are intended to harm others and vice versa is true (Good Deeds). Let's start, 👉By differentiate between Sin, Evil and mistake. Tofauti...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa vijana mnaoona maisha magumu

    UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU! Anaandika Robert Heriel! Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
  14. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yafikia 306

    Mamlaka za Mji wa Durban zinasema takriban watu 306 wamepoteza maisha katika mafuriko, huku zikionya kuwa watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea Mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu. Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya Kiislamu ninayoishi nchini China

    Pili Mwinyi Waislamu kote duniani bado wanaendelea kutekeleza nguzo ya nne ya Usilamu yaani kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hivyo leo tena napenda kuendelea kuzungumzia nguzo hii, na vilevile kuwafahamisha watu waliopo nje ya China, jinsi mimi na waislamu wenzangu wa hapa China tunavyoishi...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wazalendo maisha yao yanakuwa hatarini kwa kutetea maslahi ya taifa lao, tutaweza kuwa na kizazi cha kulipigania taifa letu?

    Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao. Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana. Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao. Viongozi ambao watazuia wavuta...
  18. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kuupiga Mwingi: Badala ya kuzungumzia maisha ya watu mitaani mnaendekeza majungu

    Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri! Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake! Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
  20. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya maisha ilivyo leo, tunahitaji kutumia gharama kubwa kujua Kiingereza ili iweje?

    Miaka ya karibuni kumeibuka kasumba ya wazazi wengi kupeleka watoto shule za mchepuo wa Kiingereza sababu ikiwa ni kuwafanya watoto waweze kuzungumza Kiingereza vizuri. Ada ya mtoto wa chekechea ni zaidi ya ada ya chuo kikuu. Najiuliza kwa hali hii ya maisha ilivyo sasa kwa nini kutumia gharama...
Back
Top Bottom