25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary
Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
2. SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto.
Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
DUNIA INAOGOPESHA ILA WEWE USIOGOPE 02! MAISHA SIO MASHINDANO
Anaandika Robert Heriel,
Umekata tamaa, hauna tumaini, mambo yote yameenda Kombo, kila ulichokuwa unakitumainia kimekusaliti, kila uliyekuwa unamuamini amekugeukia, dunia imekupiga kikumbo, hakuna yeyote aliye Kwa ajili yako...
Habari.
Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
"Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV.
Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo.
Ukiri wa mtu...
NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO!
Anaandika, Robert Heriel.
Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao.
Andiko hili ni Kwa watu wote.
Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe
Kwamba ukiwa...
Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe.
Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga.
Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
Pili Mwinyi
Kila ifikapo Juni 20, dunia inaungana kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilizindua rasmi siku hii mwaka 2000, na tangu wakati huo, jamii ya kimataifa inatumia siku hii kuangalia njia za kuboresha maisha ya wakimbizi.
Wengi wetu tunajua kwamba...
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina...
Leo 12:15hrs 19/06/2022
Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend .
Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao!
Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA.
Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu.
Maana huu mwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano.
Napiga kazi kama mbwa Ila pesa sina kuzalaulika ndio mwingi.
Khaa eee Mungu mwenyezi niokoe Mimi mwanao
Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018.
Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.