Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha.

Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia chochote kile anachokitaka na inapotokea mwanaume umeshidwa kutimiza matakwa yake pale ndipo mwanamke anapoanza kuchange sasa unapoona hii dalili mapema.

Hua tunashauli mapema piga chini huyo mwanamke kabla ya kuingia nae katika ndoa na usije ukajifanya una Fight umpe anachokitaka mwanamke ili afurahi hapo utakuwa ndio unajichimbia kaburi na mwanamke ndio utazidi kumpa kiburi akutumie vile anavyotaka na mwishoe mahusiano uliyonayo yanaanza kukutesa.
 
Ningekua na dada anayeingia kwenye ndoa na lengo Hilo ningem support 100%•

Njia yenye unafuu wa kukata laana ya umaskini kwa wanawake ni kuolewa na mtu mwenye future .

Sasa unaanzaje kufanya ushirika na mtu ambaye unajua atakupotezea muda na malengo ?
 
Hawa viumbe wapo kwa ajili yetu sisi ndio master minder wao hawawezi kujiongoza wenyewe asilani
 
Hawa viumbe wapo kwa ajili yetu sisi ndio master minder wao hawawezi kujiongoza wenyewe asilani
Hiyo ni kwa wale waliotoka familia duni na Shule hawajaenda + options za kuijiingizia KIPATO hawana, sio kwa wote. Hivyo basi Mfanye INVESTMENT kwa watoto wenu wa kike Ili nyuzi kama hizi zisiwajadili wao
 
Kwa taharifa yako hao wenye elimu kazi na wametoka familia Bora ndiyo vipeperushi balaha hata walio kwenye ndoa.
 
Kwa taharifa yako hao wenye elimu kazi na wametoka familia Bora ndiyo vipeperushi balaha hata walio kwenye ndoa.
HAVING EDUCATION IS BASIC FOR ANY GIRL AND IT IS A PIECE OF CLOTH THAT ANY GIRL SHOULD WEAR hayo mengine ni majaliwa
 
Ila ukiwa mjanja unakula mema ya nchi yule marehu wa risasi saba alishjndwa kuwa mjanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom