Hammyboytz
New Member
- Jul 18, 2022
- 2
- 11
Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani.
Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama una akili, lakini changamoto inakuja kuigeuza hiyo akili yako ya darasani kuja katika maisha yako ya kila siku.
Mwanafunzi au mhitimu wa elimu anapotoka shule moja kwa moja anakuwa amejengewa picha akilini mwake kwamba akaajiriwe, sasa anapokosa ajira anakuwa hana namna yoyote ya kufanya ili kujiongezea kipato na maisha yake ya kila siku sana sana wale ambao wanakuwa wamesomea ualimu ndio hupata fursa ya kuanzisha vituo vya elimu ya ziada yaani (tuition) baada ya hapo hakuna lingine linaloweza kufanywa na wahitimu wengine wa ngazi mbali mbali za elimu walizosomea.
Hali hii haiwezi kuisha leo au kesho kutokana na mitaala yetu ya elimu ilivyowekwa abadani (labda yesu arudi)
NINI KIFANYIKE?
Kinachotakiwa kufanyika si kingine bali ni kuachana na kuwakaririsha wanafunzi wetu nini cha kwenda kujibu kwenye mitihani mapemaaa.
Mtoto au mwanafunzi anapoanza shule moja kwa moja yeye anakuwa na ndoto zake juu ya maisha yake ya baadae, lakini pia zile za what is civics what is history nk sioni kama zina msaada kwa mwanafunzi husika
Hivyo basi kitu cha kwanza kufanyika ni kuhakikisha mwanafunzi anajitambua, anajua kusoma na kuandika vizuri na baada ya hapo mwanafunzi apewe fursa ya kuchagua mwenyewe nini anataka kufanya katika maisha yake bila kumbeza aanze kufundiswa juu ya anachokipenda au kukifikiria kufanya katika maisha yake.
Kwa akili ya kawaida unaweza kuona ni jambo lisowezekana lakini hii ni njia ya kuwakwamua wanafunzi na Wimbi la ukosaji wa ajira kwa asilimia 99.