Mwanachuo anafaa zaidi kufungua akaunti katika benki gani?

devis20010726

Member
Jul 12, 2022
6
4
Habarini za mchana waungwana wa JamiiForums.

Naomba msaada, ninatarajia kufungua akaunti ya benk mimi mwanachuo

Je, akaunti ya benk ipi nzuri kwa wanafunzi?
 
Back
Top Bottom