maisha

  1. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Rithe: Tuboreshe Maisha ya Wanawake

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUBORESHE MAISHA YAO Leo ni siku ya kimataifa ya Wanawake duniani. Ni kumbukumbu inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka kutambua jitihada zilizofanywa na wanawake wavujajasho katika kupigania uwakilishi sawa wa kisiasa, usawa wa kichumi na kupinga udhalimu dhidi ya...
  2. Napoleone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanampiga lakini kila siku anazaa

    Wakuu mimi sielewi Nina mshikaji wangu mmoja kila tukikutana ni vizinga plus analalamika maisha magumu. Ni jamaa yangu classmate etc ila mpaka muda huu ana watoto wa 3, leo nmekutana naye tena ananambia mkewe ana mimba. Nikasema 'bro are u serious?'. Eti anajibu, Ndio bro nishasababisha tena...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  4. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  5. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ugumu katika maisha/biashara

    DEPRESSION / TROUGH Hii ni stage katika maisha, biashara ambayo mambo huwa magumu sana na ugumu huja kuathiri uchumi wa dunia nzima. Hiki ni kile kipindi ambacho mtu hukata tamaa na kupoteza matuaini kabisa kuhus maisha na kujiona hana umuhimu wa kuendelea kushi. Hiki ndio kipindi ambacho...
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

    Kila siku huwa nawaza sana hili suala! Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅 Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani. Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

    Wakuu heshima kwenu, Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material. Sasa huyu binti hivi karibuni amepata sana bahati za watu ambao...
  10. Bess

    JamiiForums Tanzania Roman empire ilivyoacha matokeo ya maisha yetu ya sasa

    Karne ya 1= kanisa la mitume, ikielezewa sana na kitabu cha Matendo ya mitume. Huku warumi wakitawala Karne ya 2-3= kanisa la mateso, himaya ya Roma ikilitesa kanisa Karne ya 4= mfalme wa Roma anakuwa Mkristo, Romans hawakukubali kupoteza kila kitu, wanaingiza ibada zao pia kama mishumaa...
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  12. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania My COVID-19 experience, hard times

    I'm honestly a very lucky person. Nilipata loan wakati nasoma so my college days were great, early 20s weren't awful and mid 20s were awesome! Crazy as I am....nikaachana na fani yangu ya psychology niliyosoma and decided to pursue a career as a creative few years ago. Dude! Seemed like a...
  13. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

    Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto..... Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wacheza kareti wengi Bongo wako rafu, wanavuta bhangi, hawana maisha, ni vijana ambao wapo wapo tu?

    Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi. Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwijaku,"Mke wa Alikiba amekula maisha mazuri, mumewe hajatelekeza ndoa"

    Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake. Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kutumwa na Alikiba kumuwakilisha kwenye mkutano...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  17. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ahsante Maalim kwa maisha yako

    "Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim." Kiongozi wa...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

    Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa kudumu , basi uwe tayari umeshajua Hatima yako. Wanaume baadhi tunachopungua ni uwezo wa Kuitabiria...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay ni tafsiri sahihi ya msemo 'TUISHI". Maisha yake ni faraja kuliko uzuni

    Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI". Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu) Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania TFF imfungie maisha Haji Manara,ni mfitini mwandamizi

    Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya. Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Back
Top Bottom