Maisha katika chumba kimoja ukiwa na familia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1657682870861.png

Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu.

Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni. Hamlitumii kwakua waziri mwenye dhamana anatufundisha hasara za kupikia kuni bali hali halisi inabidi muwe na jiko la gas.

1657683364013.png

Huyu ameamua kuweka ofisi nyumbani. Lakini hii ofisi huku kwetu Kwamtogole inawezekana kweli, ukiwa kwenye simu muhimu huko nje kuna jirani ana grill ukuta.

1657683532185.png

Huyu ni mwana uchumu, akihama hapa wajukuu wamezaliwa na watoto wa ajira zao au vyanzo vyao vya mapato.
 
Back
Top Bottom