mahindi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Maafisha wa halmashauri wafyeka Shamba la mahindi

    Huko Mpanda katika eneo la Mpanda hotel shamba la mahidi lilifweka na maafisa wa halmashauri kwa sababu mbalimbali. Mwanzo walisema kuwa shamba hilo linatumika kama maficho ya wezi kabla kutoa ufafanuzi kuwa mkulima hakutakiwa kulima mazao marefu mjini. My take: Serikali inafanya kazi kwa njia...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda

    Wakati Serikali inahamasisha Wananchi kujishughulisha na shughuli za Kilimo ili kujikwamia kimaisha, baadhi ya Wakulima katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamefyekewa Mahindi ikidaiwa ni kosa kupanda mazao marefu mjini. Lucia Balizio ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Msasani na Nestori Kameme...
  5. Sundii

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

    Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje? Gharama za kuanzisha mashine zikoje? Kuna faida au hasara?
  6. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi, kila gunia Tshs. 80,000

    Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox 📥
  7. Mkulima wa Maharage

    JamiiForums Tanzania NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msichanganye siasa na mahindi

  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Acheni wakulima wauze mahindi kwa wateja kwa bei ya soko

    Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashar ya mashine ya kusaga na kukoboa (mahindi)

    Wadau, Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida. Shukurani.
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  13. Penologist

    JamiiForums Tanzania Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mhagama: limeni sana mahindi ili muweze kuongeza wake wengine!

    Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi. Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu madai ya Wakulima kudai kucheleweshewa malipo ya Mahindi

    Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika. Wamesema mazingira...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bei za Mbegu za mahindi Mwanza

    Wakubwa salam. Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo. Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya Mbegu ni DK 31 na 33 Ahsanteni.
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  18. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kushuka Bei Mahindi Nchini

    Kushuka kwa bei ya mahindi nchini ni suala ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka athari kubwa kwa wakulima na jamii kwa ujumla. Wakulima wanapata hasara kubwa kutokana na kupungua kwa bei ya mahindi, huku wafanyabiashara wakipata faida kubwa. Kwa kuwa mimi ni mkulima na mjasirimali...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mgogolo wa Mahindi tunaomba mtuelewe tulio kinyume na spika Tulia

    Wandugu. Umofia kwema? Siku za hivi karibuni tumepata mashambulizi makali kutoka kwa Genge la Bashe. Baadhi ya watu ambao ninaamini huenda ni wanaume wa Dar wamekuwa wakishadadia kile kinachoendelea dodoma wakiwa hawajui hali halisi ya mashambani. Naomba kutoa ufafanuzi kwa hoja zifuatazo. 1...
Back
Top Bottom