Nauza mahindi, kila gunia Tshs. 80,000

Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50 , Kila GUNIA nauza tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wakunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka , shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox
Punguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia, lakini pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kabisaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza Dar, ingiza Mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 unga
 
Punguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia ,, lkn pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kbsaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza dar,ingiza mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 unga
Nimeulizia naambiwa ndio kwanza yanazidi kushuka bei
 
Punguza presha mahindi utayauza bei safiii skilizia, lakini pia unaweza yageuza kama upo vzr saga sembe safiii kabisaaa weka pakeji nzr ya viroba vyenye nembo safiii bilashida ingiza Dodoma, ingiza Dar, ingiza Mtwara kiloba Cha kg 25 ni 45 unga
Unaonaje awe anapika kabisa ugali awe anauza ugali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom