mahindi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!

    Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi. Kinachonishangaza ni spika kuzungumza na kutoa maelezo kuhusu msimamo wa sirikali na utaratibu unaopaswa kufanyika. Hivi hii...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

    Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri. Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Malori zaidi ya 100 Himo yenye shehena ya mahindi yaamuriwa kuuza mahindi yao nchini badala ya kuyasafirisha Kenya

    Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Nurdin Babu kwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo Bw. Bashe. Bila shaka amri hii inatokana na zuio la Rais Samia kuzuia kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula nchini na duniani kwa jumla. Hoja hapa kwa nini serikali...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa miche ya Mahindi suluhisho kwa maeneo yanayo pata mvua Chache Tanzania

    Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee. Arusha ni moja ya maeneo ambayo kwa miaka mitatu sasa wanapata mvua chini ya wastani na hivyo mazao hasa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha watu wakalima; wamekatazwa kuuza mahindi yao nje ya nchi

    Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao. Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania imezuia malori 500 ya mahindi wakati mlisema mnachakula cha kutosha

    Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao...
  7. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

    Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
  8. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Zambia kuzuia Mahindi kuingia Tanzania ni kutowapenda Wakulima Wake?

    Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma? Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania wazuiwa kutoa mahindi nje ya Zambia, Wafunga mpaka wa Tunduma

    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mahindi kutoka Mikoa mbalimbali wamefunga mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma mkoani Songwe kwa zaidi ya masaa mawili, kwa kuegesha magari yao, wakishinikiza serikali ya Tanzania kukaa meza moja na serikali ya Zambia, ili iwapatiwe mahindi yao zaidi ya tani...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, wakulima hatutaki kurudi tena kuuza mahindi kilo 200, nasi tutakuja huko mjini

    Habarini wadau, Nimeona watu mtandaoni wakilalamika kuwa serikali ifunge mipaka ili wakulima tukose sako, na mazao yetu yashuke bei. Namuomba Rais asikubali na hii hoja, sababu hivi sasa wakulima tunauza mahindi kilo 500 hadi 600 huku shambani. Huko mjini unga nasikia haujashuka bei, kama Dar...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama...
  12. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka

    Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mahindi tani 30 yanauzwa, unaletewa mkoa uliopo

    Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
  15. Ex Spy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  17. Hold on

    JamiiForums Tanzania Huyu mchoma mahindi yupo wapi?

    Huyu mchoma Mahindi mwenye bunduki anapatikana kijiwe gani? Niko njiani naenda Dodoma nataka nimpitie aniuzie muhindi choma moja. Zicomedy Show
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mikate ya mahindi: Toka shambani hadi mezani

    Kwa kweli ugali(Unga na maji ) ni chakula duni sana. Tujifunze hapa tuachane na habari za ugali.
  19. Vivax

    JamiiForums Tanzania Hali ya mahindi Mbeya

    Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu. Kwa mimi hairidhishi kabisa! Sijui kilichotokea. Mvua ilikuwa vizuri Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka mingine. Lakini matokeo yamekuwa HASI.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pumba za mpunga katika shamba la mahindi

    Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua uhalisia wa mbolea za pumba ya mpunga ufanyaji KAZI wake pindi iwekwapo katika shamban la mahindi...
Back
Top Bottom