mahindi

  1. Ibra ruge chabenzi

    JamiiForums Tanzania Nachukua mkopo CRDB nianze biashara ya nafaka(mpunga na mahindi)

    Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15. Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store. Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mahindi ya kuchoma yanafaa

    Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
  4. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mahindi (Dsm, Pwani, Morogoro)

    Kuna mtu anauza mahindi ambayo hajaweka dawa maeneo ya dsm, pwani, Morogoro? Nahitaji gunia 10 mpaka 15 Ni cheki kwa 0764452424
  5. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CDRB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

    Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
  6. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata soko la mahindi?

    Habari wapambanaji wenzangu! Samahani nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata soko la kuuza mahindi! Natoa mahindi Handeni Tanga! Nilikuwa nina mpango wa kukusanya na kuuza mara moja au mbili kwa wiki hivyo naomba kujua soko ambalo liko reliable! Natanguliza Shukurani!
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza mashine za kisasa za kupukuchulia mahindi

    Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu. (Maize sheller machine) ✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA) ✓Inapukuchua magunzi saize Tofauti Tofauti. ✓Hutumia umeme wa majumbani single phase (Ac) ✓Inahamishika kirahisi kutoka Sehemu...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

    Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
  9. totoadela

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto mashuleni vinavyotokana na kufanya usafi kwenye ghala za kuhifadhia mahindi

    Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  14. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo. Natanguliza...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

    Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired. Nimemuahidi Jamaa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna bora ya kuhifadhi pumba ya mahindi

    Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku! Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha! Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze! Lengo ni ili isiharibike! Msaada tafadhali
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha mahindi

    Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
Back
Top Bottom