Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

Sundii

Member
May 6, 2020
27
31
Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje?
Gharama za kuanzisha mashine zikoje?
Kuna faida au hasara??
 
Kama upo mjini inabid tena utafute mtaji wa kununua nafaka uwe nazo mashineni kwako

Kama upo kijijin sio lazima sana kuwa na nafaka hapo mashineni

HUjasema unataka kuanzisha mashine ya kusaga ya umeme au ya disel mashine

Ukiwa unaweza kupata wateja wengi ni biashara moja nzuri Sana,

Mimi nina uzoefu zaidi na mashine ya kusaga ya umeme,ambapo ukinunua umeme wa 10,000 ambazo ni unit 28 na ukaweza kuzitumia zote inamaana kuna uwezekano wa kupata faida ya 40,000

Unit 28 zinauwezo wa kusaga kg 56

Mashine ya kukoboa mahindi ina faida sana maana haitumii umeme mwingi Sana kama hiyo ya kusaga
 
Asante Sana nimeanza kununua badhii ya vifaa. Ila machine Ni ya umeme na Niko kijijini.
 
Hivi hinzi mashine complete nziunzwa bei gan mkuu
 
Hii biashara kwa mjini naona kama hailipi kama kijijini. mjini watu hununua unga dukani toka kwa bakhresa au kino mo kijijini ndio huwa wanasaga.
 
Kwa swala la namna ya kupata mashine Bora nitafute mkuu Mimi ni fundi wa hayo mavitu sema nko mbeya Ila tunaweza kufanya biashara Kama ungependa mkuu
 
Nakutengenezea kwa 2.5 Kila moja hapo ni pamoja na mota wewe ni kufungua na kuanza kazi
 
Asante Sana nimeanza kununua badhii ya vifaa. Ila machine Ni ya umeme na Niko kijijini.
Mkuu unit 1 ni inasaga kilo 18 mpaka 20
Huku kwetu debe moja ambalo ni Kama kilo 20 hivi wanasaga kwa 1500

So
1500×28=42000
Ukitoa 10000 ya umeme inabaki 32000
Kama umetega pazuri unaweza kusaga hata wateja 40 per day mkuu
 
Vip kuhusu mashine za kukamua mafuta ya alizeti bei yake ikoje
 
Nakutengenezea kwa 2.5 Kila moja hapo ni pamoja na mota wewe ni kufungua na kuanza kazi
Mkuu kuna zile mashine zinazotumia mota moja,, yaan ya kukoboa na kusaga zote zinatumia mota moja. Mtumiaji unahamisha ile mikanda tu kutegemea na kazi unayotaka kuifanya kwa wakati husika (kukoboa au kusaga),, nazo unatengeza? Na kama unatengeneza bei yake ikoje pamoja na mota?
 
Back
Top Bottom