Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

Penologist

JF-Expert Member
Feb 25, 2019
788
1,904
Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
 
Nimefurahishwa kwa aina utanganzaji ulio fanya ,mm mwenyewe Nina gunia 100 Nipo HANDENI Tanga ,kwaambao wanachukua yote ninaweza kuwalea kwa kg sh 100
Mawasiliano 0620747396
 
Bei ya wapi hiyo mkuu. Mahindi yameshuka sana bei sasa hivi na mvua hizi yatazidi kushuka zaidi maana bado uzalishaji unaendelea kuongezeka
Uzalishaji na hii mvua, tena kwa elnino hii mahindi yatapanda bei kweli, mimi nimeuza Magunia yote kwa laki moja.
 
Back
Top Bottom