Mpanda: Maafisha wa halmashauri wafyeka Shamba la mahindi

gati

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
261
140
Huko Mpanda katika eneo la Mpanda hotel shamba la mahidi lilifweka na maafisa wa halmashauri kwa sababu mbalimbali. Mwanzo walisema kuwa shamba hilo linatumika kama maficho ya wezi kabla kutoa ufafanuzi kuwa mkulima hakutakiwa kulima mazao marefu mjini.

My take:
Serikali inafanya kazi kwa njia ambazo unashindwa kuwafahamu kuwa je- watumishi wa Serikali wapo kwa ajili yaq kuhudumia wananchi au wapo kwa ajili ya kuwasumbua wananchi?

Kuna kisa kama hiki kimetokea katikati ya jiji la Dodoma: Pembezoni mwa Shule ya Sekondari ya Central pale Dodoma palijengwa frem za maduka na wadau walichukua leseni za biashara kutoka jiji na wakafungua maduka - baada ya siku chache jiji walikucha kubomoa usiku kwa maelezo kuwa ujenzi haukufuata taratibu - i am speechless

MAHINDI MPANDA 2.jpg
MAHINDI MPANDA.jpg
 
Huko Mpanda katika eneo la Mpanda hotel shamba la mahidi lilifweka na maafisa wa halmashauri kwa sababu mbalimbali. Mwanzo walisema kuwa shamba hilo linatumika kama maficho ya wezi kabla kutoa ufafanuzi kuwa mkulima hakutakiwa kulima mazao marefu mjini.

My take:
Serikali inafanya kazi kwa njia ambazo unashindwa kuwafahamu kuwa je- watumishi wa Serikali wapo kwa ajili yaq kuhudumia wananchi au wapo kwa ajili ya kuwasumbua wananchi?

Kuna kisa kama hiki kimetokea katikati ya jiji la Dodoma: Pembezoni mwa Shule ya Sekondari ya Central pale Dodoma palijengwa frem za maduka na wadau walichukua leseni za biashara kutoka jiji na wakafungua maduka - baada ya siku chache jiji walikucha kubomoa usiku kwa maelezo kuwa ujenzi haukufuata taratibu - i am speechless View attachment 2845899View attachment 2845901
Hawa nao ni makatili kama makatili wengine.
 
Sidhani kama kuna mtumishi Mjinga hivyo afyeke bila sababu. Kuna sababu nyuma yake tu.
 
Sidhani kama kuna mtumishi Mjinga hivyo afyeke bila sababu. Kuna sababu nyuma yake tu.
DC katoa ufafanuzi kuwa ktk mji wa Mpanda ni katazo la Sheria ndogo kuwa mazao yanayolimwa yawe yasiyovuka magoti kwa kimo.
Eti mkulima huyo kalima mazao marefu
 
Watanzania watu wa ajabu sana....wako too emotional.....wanaweza kumuhurumia hata jambazi akiwa anaonesha sura ya huruma.....

Watanzania wako radhi hata sheria ivunjwe ilimradi tu wanayemhurumia apate nafuu...,

Lakini watanzania hao hao wako kumhukumu mtu wasiyempenda kwa sheria hiyo hiyo......
 
DC katoa ufafanuzi kuwa ktk mji wa Mpanda ni katazo la Sheria ndogo kuwa mazao yanayolimwa yawe yasiyovuka magoti kwa kimo.
Eti mkulima huyo kalima mazao marefu
Mbona hiyo ipo wazi Mugabo na ni kwa mujibu wa sheria za mipango miji na ipo dunia nzima. Vipi kasulu hakuna kitu kama hiko? Siku hizi hulima Parachichi bro?
 
Nakumbuka zamani mkoa wa mbeya ilikua ni marufuku kupanda mazao marefu maeneo ya mjini.

Na ukipanda mahindi wanakuja kukata kweli.

So ni sheria za majiji hizi.

My take tujikite zaidi kwenye kukomesha na kuzuia uhifu kuliko kua waoga kiasi hiki
 
DC katoa ufafanuzi kuwa ktk mji wa Mpanda ni katazo la Sheria ndogo kuwa mazao yanayolimwa yawe yasiyovuka magoti kwa kimo.
Eti mkulima huyo kalima mazao marefu
Tutii sheria bila Shuruti.
Waliofyeka wako sahihi, mnalalamika mahindi ya Sh. Laki 3 kufyekwa mmesahau Maghorofa ya Bilions of Money huwa yanabomolewa kwa kujengwa Kwenye hifadhi ya barabara au ufukwe kwa bahari.
Acheni kuongozwa na hisia.
 
Tuongozwe na nn hisia isipotumika?
 
Back
Top Bottom