"Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto
====
Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo.
Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua kiuchumi.
Tukio hilo la kufyekewa mahindi limetokea hivi karibuni kutokana na kile kinachotajwa ni uvamizi...
Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya...
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika.
Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo.
😩😩😩
Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Tangu Wakulima tuuze mazao yetu kwa Serikali mwezi Septemba 2024 mpaka sasa tunaelekea katikati ya Desemba 2024 hatujalipwa...
Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.
Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu bali sisi sote wenye hii changamoto.
Naomba sauti hii ifike kwa Wizara ya Kilimo na ngazi ya juu ya...
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70
Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda itakuwa hasara .
Nimeamua kuja na hiyo njia ya kupulizia kiuagugu Niue majanj ndiyo nipande mbegu...
Habari za asubuhi Watanzania wenzangu.
Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini.
Ikumbukwe wakala huyu alijinabaisha kuwa sasa atajiongezea jukumu lingine la kufanya biashara na wakulima wa mahindi...
Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme).
Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili,
Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya.
Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi
Piga no 0716 508073
Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda
Bei niTsh850,000/=
Inapukuchua na kupepeta gunia 25-30 kwa saa
Kwa siku inapukuchua na kupepeta gunia 300
Ina feni la kupepeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.