NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

Aug 21, 2023
7
15
Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860.

Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ndiyo kipindi muafaka cha maandalizi.

Tunaiomba sana Serikali ikisikie kilio chetu kwani tunakwamishwa kufanya maandalizi.
 
Back
Top Bottom