Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki.
Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco.
M
Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama.
Kajisahau sasa...
Jumuiya ya wazazi wa CCM imetoa shukrani maalumu kwa Rais Magufuli kwa namna alivyoibadilisha CCM na kuifanya iheshimike mbele ya jamii.
Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa haiwezekani kuvaa sare za chama ( CCM) mtaani kwani tulizomewa na kupigwa mawe lakini sasa hata tukipita mtaa wa Ufipa na sare...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amehimiza uwekezaji katika sayansi, hususani katika kipindi hiki ambacho nchi inajielekeza katika uchumi wa kati ifi kapo mwaka 2025. Aidha, Kikwete ametoa mwito kwa waajiri kuruhusu watumishi kujiendeleza kielimu isaidie kuongeza idadi ya watu wenye shahada.
Alitoa...
Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
Si vibaya kujifunza kutoka kwa chama kikuu cha upinzani kwani mimi naona wanafanya jambo zuri sana kwa maslai mapana ya Chadema, kwani Freema Mboe atakuwa na miaka zaidi ya 30 ofisini.
Hivyo CCM nao waige wampe Magu hata miaka 20 au 30 tu kama wanavyofanya vyama vya upinzani kwani huu uwe...
Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama.
Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu.
Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Rais John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Igunga kuhakikisha kesho anaitisha kikao cha dharura cha madiwani Igunga kwa ajili ya kubatilisha matumizi ya fedha kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja ambazo zilipitishwa na baraza la madiwani kujenga mitaro.
Rais Magufuli amesema amewashangazwa...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo.
Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania.
Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
Kwenye viunga vya wasomi na wanasiasa, wachambuzi na wanaharakati hili jambo linaendelea kujadiliwa sana.
Katika dhamira ya kuleta mabadiliko Rais Magufuli anaonekana kuwa na dhamira lakini amekosa wapi na lipi ashike.
Amekosa mipango ambayo ingeihakikishia Tanzania mabadiliko aliyokusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.