Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,550
141,357
Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu.

Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu (Papa) wa dunia nzima.

Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri kiongozi ajaye wa nchi fulani.

Hivyo Kardinali Pengo anenapo tuwe tunamsikiliza kwa makini na kumuelewa.

Mlale unono

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe na yeye, tayari mmeongeza taharuki tena....
tapatalk_1574003001155.gif
 
Mkuu Pascal wewe ni nabii!
Angalia alipoanzia


P
 
Back
Top Bottom