Baada ya Mwambe " kutulizwa" na Rais Magufuli sasa nitamchukulia Tundu Lissu fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,320
146,847
Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe.

Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura zake kule CCM kwenye maoni kupewa mtu mwingine na yeye kupigwa chini, nimegundua Cecil kimwili yuko Chadema lakini kiroho yuko CCM hivyo hatatosha.

Hivyo basi wanaoniunga mkono naomba kwa pamoja tumchukulie fomu kamanda mwingine shupavu mwenye ujasiri uliotukuka ndugu yetu Tundu Antipas Lisu.

Sijajua fomu inauzwa bei gani lakini ninajitoa kwa gharama yoyote ili tupate kiongozi sahihi wa kumrithi kamanda Freeman.

Naomba kuwasilisha

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu Mwambe ambaye utendaji wake ni Kama Sifuri tu....... Nilienda kwenye Jimbo lake la Ndanda kijiji kimoja kinaitwa Namajani Loooooo ni shida Ni Kata hiyo lakini Umeme wa Rea umepita hapo cha ajabu Zahanati ya Kata iliachwa kuweka Umeme kwa kisingizio cha Uhaba wa Nguzo lakini waliweka umeme Zahanati ya Binafsi na kuacha Zahanati ya Kata ikitumia sola na wakati mwingine Vibatali wakati wa Wajawazito kujifungua.

Namajani Kuna shida nyingi utaona Huruma mpaka unawaza mbali upo TZzzz kweli au maji ni Shida wakati wa Kiangazi Ndoo ya Lita 20 ni Tsh 500/= kwenye mashimo ya Visima binafsi Water table haipo mbali ni Kama Mita 80 tu Umeme upo shida ni nini Mbunge Mwambe? Unashindwa kuchimba kisima cha kawaida tu na Ndipo wa Jimbo unao? ......
Wewe kweli wa kutuma Gari la Matangazo eti Watu wa Namajani waende kijiji jirani wakaangalie Sinema yako ya mambo uliyofanya.Watu walikuponda Sana na walikuwa na hasira.

watu wanahangaikia Maji wewe unawaambia wakaangalie simema ni bora hata ungekuja Mwenyewe........Umewadharau Sana wananchi wa Kata ya Namajani

Nao Halmashauri ya Masasi sijui mulitumia kigezo gani kuweka Kata ya Namajani Jimbo LA Ndanda kijiografia ni maeneo mawili tofauti kwani ukitaka kwenda jimboni Ndanda ni lazima upite Masasi then uende Ndanda hii itapelekea Mbunge yeyote kutokwenda maeneo Kama Namajani labda wakati wa kuomba Kura tu......Halmashauri liangalieni hili
 
Achana na Chama chenye watu waadilifu, endelea kudili na viongozi wenu matapeli mliopitisha bila kupingwa.
Sasa huyo ni level ya mwenyekiti wa mtaa tuu, ndio maana haishangazi ngazi ya taifa kutapeli kuwa yeye ndiye mkuu wa malaika ajaye
tapatalk_1574105185730.jpeg
 
Huyu Mwambe ambaye utendaji wake ni Kama Sifuri tu....... Nilienda kwenye Jimbo lake la Ndanda kijiji kimoja kinaitwa Namajani Loooooo ni shida Ni Kata hiyo lakini Umeme wa Rea umepita hapo cha ajabu Zahanati ya Kata iliachwa kuweka Umeme kwa kisingizio cha Uhaba wa Nguzo lakini waliweka umeme Zahanati ya Binafsi na kuacha Zahanati ya Kata ikitumia sola na wakati mwingine Vibatali wakati wa Wajawazito kujifungua.....
Namajani Kuna shida nyingi utaona Huruma mpaka unawaza mbali upo TZzzz kweli au..... Maji ni Shida wakati wa Kiangazi Ndoo ya Lita 20 ni Tsh 500/= kwenye mashimo ya Visima binafsi Water table haipo mbali ni Kama Mita 80 tu Umeme upo shida ni nini Mbunge Mwambe? Unashindwa kuchimba kisima cha kawaida tu na Ndipo wa Jimbo unao? ......
Wewe kweli wa kutuma Gari la Matangazo eti Watu wa Namajani waende kijiji jirani wakaangalie Sinema yako ya mambo uliyofanya..........Watu walikuponda Sana na walikuwa na hasira.......watu wanahangaikia Maji wewe unawaambia wakaangalie simema ni bora hata ungekuja Mwenyewe........Umewadharau Sana wananchi wa Kata ya Namajani

Nao Halmashauri ya Masasi sijui mulitumia kigezo gani kuweka Kata ya Namajani Jimbo LA Ndanda kijiografia ni maeneo mawili tofauti kwani ukitaka kwenda jimboni Ndanda ni lazima upite Masasi then uende Ndanda hii itapelekea Mbunge yeyote kutokwenda maeneo Kama Namajani labda wakati wa kuomba Kura tu......Halmashauri liangalieni hili
Ndio maana namchukulia fomu Tundu Antipas Lisu!
 
Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe.

Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura zake kule CCM kwenye maoni kupewa mtu mwingine na yeye kupigwa chini, nimegundua Cecil kimwili yuko Chadema lakini kiroho yuko CCM hivyo hatatosha.

Hivyo basi wanaoniunga mkono naomba kwa pamoja tumchukulie fomu kamanda mwingine shupavu mwenye ujasiri uliotukuka ndugu yetu Tundu Antipas Lisu.

Sijajua fomu inauzwa bei gani lakini ninajitoa kwa gharama yoyote ili tupate kiongozi sahihi wa kumrithi kamanda Freeman.

Naomba kuwasilisha

Maendeleo hayana vyama!
Hivi kuitwa mtu mzima unajua maana yake? Wewe ni mtu mzima unasumbuliwa na govi. Kusanya fedha za kumchulia Bashite fomu
 
Ataongoza chama akiwa nje ya nchi?
Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe.

Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura zake kule CCM kwenye maoni kupewa mtu mwingine na yeye kupigwa chini, nimegundua Cecil kimwili yuko Chadema lakini kiroho yuko CCM hivyo hatatosha.

Hivyo basi wanaoniunga mkono naomba kwa pamoja tumchukulie fomu kamanda mwingine shupavu mwenye ujasiri uliotukuka ndugu yetu Tundu Antipas Lisu.

Sijajua fomu inauzwa bei gani lakini ninajitoa kwa gharama yoyote ili tupate kiongozi sahihi wa kumrithi kamanda Freeman.

Naomba kuwasilisha

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe.

Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura zake kule CCM kwenye maoni kupewa mtu mwingine na yeye kupigwa chini, nimegundua Cecil kimwili yuko Chadema lakini kiroho yuko CCM hivyo hatatosha.

Hivyo basi wanaoniunga mkono naomba kwa pamoja tumchukulie fomu kamanda mwingine shupavu mwenye ujasiri uliotukuka ndugu yetu Tundu Antipas Lisu.

Sijajua fomu inauzwa bei gani lakini ninajitoa kwa gharama yoyote ili tupate kiongozi sahihi wa kumrithi kamanda Freeman.

Naomba kuwasilisha

Maendeleo hayana vyama!
Mnajisumbua Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti Chadema,Mbona Membe hamsemi mtamchukulia kwani kule hakuna Uchaguzi?
 
Kwani Lowassa aliyegombea urais alikuwa wa muda gani?!
Tofautisha uenyekiti na urais.

Kwa CDM walimpatia Lowasa huku wakijua hawezi shinda urais wakati huohuo wakijua atapata kura nyingi kuliko mtu yeyote ndani ya CDM hivyo wapate viti maalum wengi.
 
Ndio maana namchukulia fomu Tundu Antipas Lisu!
Hivi tangu lini kada kindakindaki wa Lumumba aionee huruma Chadema, hadi amchukulie fomu mgombea wake??

Hizo ni hila za shetani za kutaka kuingilia uchaguzi wa Chadema, kwa lengo la kuuvurunda, kama mlivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Back
Top Bottom