magufuli

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wananchi walipwe bilioni 3.4

    Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania. Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu. Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilitaka kwenda kupiga kura lakini nikiwa hapa kanisani nimesikia mgombea amepita bila kupingwa hivyo nampongeza

    Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa. Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma. Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Kwenye viunga vya wasomi na wanasiasa, wachambuzi na wanaharakati hili jambo linaendelea kujadiliwa sana. Katika dhamira ya kuleta mabadiliko Rais Magufuli anaonekana kuwa na dhamira lakini amekosa wapi na lipi ashike. Amekosa mipango ambayo ingeihakikishia Tanzania mabadiliko aliyokusudia...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

    Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

    Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba. My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Nitamshauri Rais Mh Dkt Magufuli ajiuzulu/aachie ngazi

    Na Elius Weston Ndabila. +255768239284 Hili si jambo la kawaida la mtu wa kawaida kujitokeza hadharani nakusema ipo siku atamshauri Rais ajiudhulu nafasi yake ya kuliongoza Taifa. Nimetafakari sana hadi kufikia maamzi haya. Nitajitoa kwa niaba ya Watanzania kumshauri Rais kuachia nafasi yake...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli amemsimamisha kazi kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga

    Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

    Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi. Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

    Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo? Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine? Nasubiri majawabu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za majaribio: IPO siku tutaelewa Siasa za Kwa nini Mhe. Magufuli aliwapa Hati Mabalozi wajenge wenyewe

    Tanzania inaongozwa Kwa story chafu ambazo wataalamu wa mambo wanaojua KUPLAN huzitumia kuharibu KAZI za nchi nyingine au kichwa cha MTU.. Tumekuwa tunashuhudia RAIS akijifanyia maamuzi yasiyo na makosa Kwa JAMII Kwa sababu tumempa thamana aongoze Nchi yetu.. Ni muda SASA alitoa Hati miliki Kwa...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa agizo kuhusu ujenzi wa Hospitali Chamwino

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA). Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
  13. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Katavi: Viboko katika bwawa la Milala Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi waanza kuhamishwa

    Bodi ya mamlaka ya wanyamapori nchini TAWA imeanza kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufu kuhusu kuwaondoa viboko katika bwawa la Milala katika Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi. Akizungumza na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Wanyamapori TAWA Meja Jenerali Mstaafu Hamis...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

    Wanandugu. Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma. Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo. Source: Channel ten
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
  18. F

    JamiiForums Tanzania Netanyahu wa Israel kufungwa. Trump anaweza kupoteza urais wake. Magufuli anafanya analotaka haulizwi chochote

    Kuna taarifa leo kuwa Binyamin Netanyahu au Bibi ameshtakiwa na mwendesha mashtaka (DPP) pamoja na Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Israel kwa kosa la rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa vyovyote vile hataweza kushinda, kama ilivyotokea kwa Ehud Olmert...
  19. Ringo Malisa

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli

  20. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
Back
Top Bottom