Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Na Elius Weston Ndabila.
+255768239284
Hili si jambo la kawaida la mtu wa kawaida kujitokeza hadharani nakusema ipo siku atamshauri Rais ajiudhulu nafasi yake ya kuliongoza Taifa.
Nimetafakari sana hadi kufikia maamzi haya. Nitajitoa kwa niaba ya Watanzania kumshauri Rais kuachia nafasi yake...
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi.
Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?
Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?
Nasubiri majawabu...
Tanzania inaongozwa Kwa story chafu ambazo wataalamu wa mambo wanaojua KUPLAN huzitumia kuharibu KAZI za nchi nyingine au kichwa cha MTU..
Tumekuwa tunashuhudia RAIS akijifanyia maamuzi yasiyo na makosa Kwa JAMII Kwa sababu tumempa thamana aongoze Nchi yetu.. Ni muda SASA alitoa Hati miliki Kwa...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA).
Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
Bodi ya mamlaka ya wanyamapori nchini TAWA imeanza kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufu kuhusu kuwaondoa viboko katika bwawa la Milala katika Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi.
Akizungumza na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Wanyamapori TAWA Meja Jenerali Mstaafu Hamis...
Wanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni...
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.
Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma.
Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo.
Source: Channel ten
Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Kuna taarifa leo kuwa Binyamin Netanyahu au Bibi ameshtakiwa na mwendesha mashtaka (DPP) pamoja na Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Israel kwa kosa la rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa vyovyote vile hataweza kushinda, kama ilivyotokea kwa Ehud Olmert...
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
Nimetafakari, nikaona nipate pia mawazo wanafikra weledi juu ya baadhi ya kauli zenye utata za viongozi kwa wananchi
Je, huu ni uungwana kweli?
Kauli tata za vingozi wa Tanzania
Mtakula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe (MRAMBA)
Ukitaka kula inabidi ukubali na wewe kuliwa (J...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho.
====
Rais Magufuli awasili...
Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe weka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho, mbaazi, zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa
Kumbe report ya BOT
Inamuumbua, mahindi...
Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa Vitambulisho vya Taifa huku Mkoa mzima ukiwa na ofisi moja pekee ya NIDA.
Rais Magufuli ametoa agizo...
Mi mwanachi wa kawaida kabisa, sina cheo popote pale wala sina mlengo wa siasa za chama chochote hapa nchini. Pia nifanye personal declaration, I like Rais Magufuli, I admire his strictness for national issues and performancefor achievements.
Nilimfahamu Rais Magufuli nikiwa form 2 in 1990...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.