Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

ni jambo zuri, tutawaenzi na kuwakumbuka viongozi wetu kupitia jitihada zao katika Ujenzi Wa miundombinu kama majina yao yatatumika katika kuiita miundombinu. Miaka ijayo watu watataka kumjua MFUGALE na NDUGAI kupitia flyover na soko
 
For what special Ndugai ame offer kwa Watanzania????? Ipo Siku hilo soko litafutwa hilo jina...
 
Jamani/ Faru Ndugai, Soko la Ndugai, Mwisho Nyoka Ndugai nk.

Tuwaenzi na hawa akina mama. Mama Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mama Fatuma Karume nk.

Kina ndugai tuwaache wana yao ambayo wengine wanao ukakasi.
 
Back
Top Bottom