magufuli

  1. pantheraleo

    Katavi: Viboko katika bwawa la Milala Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi waanza kuhamishwa

    Bodi ya mamlaka ya wanyamapori nchini TAWA imeanza kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufu kuhusu kuwaondoa viboko katika bwawa la Milala katika Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi. Akizungumza na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Wanyamapori TAWA Meja Jenerali Mstaafu Hamis...
  2. I

    Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

    Wanandugu. Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni...
  3. J

    Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
  4. J

    Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma. Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo. Source: Channel ten
  5. J

    Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
  6. F

    Netanyahu wa Israel kufungwa. Trump anaweza kupoteza urais wake. Magufuli anafanya analotaka haulizwi chochote

    Kuna taarifa leo kuwa Binyamin Netanyahu au Bibi ameshtakiwa na mwendesha mashtaka (DPP) pamoja na Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Israel kwa kosa la rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa vyovyote vile hataweza kushinda, kama ilivyotokea kwa Ehud Olmert...
  7. Ringo Malisa

    Hongera Rais Magufuli

  8. J

    Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
  9. B

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Nimetafakari, nikaona nipate pia mawazo wanafikra weledi juu ya baadhi ya kauli zenye utata za viongozi kwa wananchi Je, huu ni uungwana kweli? Kauli tata za vingozi wa Tanzania Mtakula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe (MRAMBA) Ukitaka kula inabidi ukubali na wewe kuliwa (J...
  10. Mwl.RCT

    Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  11. N

    Aibu: Kama data hizi za BOT ni za kweli basi Rais Magufuli na serikali yake hawana faida kwetu

    Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe weka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho, mbaazi, zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa Kumbe report ya BOT Inamuumbua, mahindi...
  12. Papaa Mobimba

    Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa Vitambulisho vya Taifa huku Mkoa mzima ukiwa na ofisi moja pekee ya NIDA. Rais Magufuli ametoa agizo...
  13. House of Commons

    Mwacheni Rais Magufuli afanye kazi tuliyompa, ila kwa hili hapana

    Mi mwanachi wa kawaida kabisa, sina cheo popote pale wala sina mlengo wa siasa za chama chochote hapa nchini. Pia nifanye personal declaration, I like Rais Magufuli, I admire his strictness for national issues and performancefor achievements. Nilimfahamu Rais Magufuli nikiwa form 2 in 1990...
  14. Suley2019

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kitamtunuku Rais wa Tanzania, John Magufuli Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutokana na uongozi wake hasa ujenzi wa uchumi wa viwanda. Akizungumza leo Jumatano Novemba 20, 2019 Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Faustine Bee amesema shahada hiyo itatolewa...
  15. Abdalah Abdulrahman

    Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  16. ESCORT 1

    Rais Magufuli ajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kitongoji cha Sokoine. Asema amehamia Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwa ajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwa sasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao...
  17. Mystery

    GE2020 Rais Magufuli amepania kurejesha kwa nguvu mfumo wa chama kimoja nchini

    Tokea mwaka 1992, nchi yetu iliamua kuirejesha nchi hii kwenye mfumo wa vyama vingi na mfumo huo ukaingizwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) ambayo inatamka wazi kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi" mwisho wa...
  18. Influenza

    Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) nchini Tanzania itaanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari mwaka 2020. Hayo yameelezwa leo Jumanne Novemba 19, 2019 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya MNH tangu...
  19. J

    Baada ya Mwambe " kutulizwa" na Rais Magufuli sasa nitamchukulia Tundu Lissu fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema

    Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe. Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura...
  20. J

    Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

    Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu. Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu (Papa) wa dunia nzima. Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri...
Back
Top Bottom