mafao

  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tamko la NHIF kuhusu mapitio ya Kitita cha Mafao cha NHIF

    https://www.youtube.com/watch?v=wuinOtEhEjk YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPITIO YA KITITA CHA MAFAO CHA NHIF CHA MWAKA 2023 Ndugu wanahabari, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa niaba ya Kamati ya kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023, naomba nitoe taarifa...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania NSSF yalipa mafao ya bilioni 56 kwa Miezi 6

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umelipa shilingi bilioni 56.689 kama mafao ya wastaafu katika kipindi cha miezi sita iliyoanzia mwezi Julai mpaka Disemba 2023. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Bw. Omari Mziya amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ofisini kwake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi). Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

    Mwananchi huyu kaeleza yote. Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii. Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu ya pesa zilizokusanywa kama kodi kutoka kwa walalahoi. Sasa mwenza naye ameshakuwa kiongozi...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  15. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wastaafu kuchelewa kupata mafao

    Kumekuwa na Malalamiko ya Wastaafu kutokupata Mafao yao kwa wakati huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni Waajiri wanachelewa kuwasilisha michango Kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kusababisha kuchelewa kwa uchakataji Mafao ya wastaafu. Licha ya kuwepo kwa sheria zinazotetea haki zao ikiwemo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Waliostaafu January 2023 ambao wameshalipwa mafao/ kiinua mgongo chao tukutane hapa

    Kuna utata kuhusu ulipwaji wa mafao ya kustaafu. Tunaomba waliolipwa mafao yao mwaka 2023 tukutane hapa.
Back
Top Bottom