mafao

  1. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu. Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo? Shukrani.
  3. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  4. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanatumia muda mwingi kufuatilia mafao yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    - Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:- 1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi ) 2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee ) Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
  5. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mafao ya PSPF

    Jamani maisha magumu na akiba haiyeyuki kirahisi, Nilifanya kazi sehemu moja ni private kama 5 yrs ago so sikuwahi fatilia mafao yangu sasa baada ya jua kali la DSM nikaona nipitie nichungulie kama mzigo upo Mungu mkubwa mzigo niliukuta full. Sasa nikaulizia process gani nifate ili niweze...
  6. Broussard

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  7. sitaki hela

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

    Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini? Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli...
  8. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PSSSF yalipa mafao bil. 60/- kila mwezi

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo. Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema fedha hizo hulipwa wastaafu 150,000 kwa mwezi. Aidha, alisema Mfuko huo unalipa zaidi ya Sh. bilioni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Rais Mstaafu wa Tanzania hupata mafao haya?

    Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki. Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo: 1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mokiwa alalamika kunyimwa Mafao yake Anglikana

    Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa amelalamika kunyimwa stahiki zake baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo. Dk Mokiwa alivuliwa uaskofu mkuu Januari 7 mwaka 2017 na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob...
  13. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mafao ya NSSF

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo. Nawasilisha
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

    Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao. Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Wastafu wenye vyeo vikubwa na mishahara minono huteuliwa kazi zingine ila watumishi ngazi za chini sasa wanakatwa mafao yao

    Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi. Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu Mafao ya Viongozi Wakubwa?

    Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani. Swali langu: Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili. Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

    Habari wana JF, Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka? Sababu: 1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini 2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster 3. Sio...
  18. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Na hili la asilimia 33% mafao uzeeni badala ya asilimia 25% (kwa iliyokuwa PPF na NSSF) na badala ya asilimia 50% (kwa iliyokuwa PSPF na LAPF)

    Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NSSF hodari wa kudai na kufuatilia michango lakini wazembe kulipa mafao ya Wastaafu

    NSSF ninayoifahamu ni wakali sana mwajiri akichelewesha michango, wakali sana mwajiri asipowasilisha michango ya wanachama lakini NSSF ni wazembe, wavivu na watesi wa wanachama wao pale wanapokuwa hawana michango na wanapofuatilia mafao yao, hata fao la kukosa Ajira tu. Unakuta mtu anachangia...
Back
Top Bottom