mafao

  1. mirindimo

    Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  2. Rutashubanyuma

    Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  3. A

    SoC03 Wastaafu kuchelewa kupata mafao

    Kumekuwa na Malalamiko ya Wastaafu kutokupata Mafao yao kwa wakati huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni Waajiri wanachelewa kuwasilisha michango Kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kusababisha kuchelewa kwa uchakataji Mafao ya wastaafu. Licha ya kuwepo kwa sheria zinazotetea haki zao ikiwemo...
  4. P

    Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  5. BARD AI

    Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  6. P

    Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  7. peno hasegawa

    Wastaafu Waliostaafu January 2023 ambao wameshalipwa mafao/ kiinua mgongo chao tukutane hapa

    Kuna utata kuhusu ulipwaji wa mafao ya kustaafu. Tunaomba waliolipwa mafao yao mwaka 2023 tukutane hapa.
  8. B

    Kwanini kuwe na kikokotoo Cha mafao ya wastaafu

    Mi nashauri vikokotoo vyote vifutwe, mtu akistaafu apewe hela yake yote. Nawasilisha
  9. DOMINGO THOMAS

    Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  10. Z

    Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu. Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo? Shukrani.
  11. DOMINGO THOMAS

    Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  12. DOMINGO THOMAS

    Kwanini watu wengi wanatumia muda mwingi kufuatilia mafao yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    - Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:- 1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi ) 2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee ) Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
  13. Blaszczykowski

    Msaada wa kupata mafao ya PSPF

    Jamani maisha magumu na akiba haiyeyuki kirahisi, Nilifanya kazi sehemu moja ni private kama 5 yrs ago so sikuwahi fatilia mafao yangu sasa baada ya jua kali la DSM nikaona nipitie nichungulie kama mzigo upo Mungu mkubwa mzigo niliukuta full. Sasa nikaulizia process gani nifate ili niweze...
  14. Broussard

    Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  15. X_INTELLIGENCE

    Mafao ya Kupoteza Ajira

    Hii ndio ile inaitwa thubutu kulima utalima kwa kuteseka harafu bei unakuja kupangiwa na madalali wa mjini...tumewakosea nini hawa viongozi wetu, kosa letu sisi kweli ni huu utanzania au kuna jingine...? Mafao ya kupoteza ajira hutolewa kwa mwanachama wa NSSF aliyepoteza ajira kwa kuachishwa...
  16. sitaki hela

    Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

    Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini? Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli...
  17. MANKA MUSA

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  18. Suley2019

    PSSSF yalipa mafao bil. 60/- kila mwezi

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo. Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema fedha hizo hulipwa wastaafu 150,000 kwa mwezi. Aidha, alisema Mfuko huo unalipa zaidi ya Sh. bilioni...
  19. BARD AI

    Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  20. Nyendo

    Je, ni kweli Rais Mstaafu wa Tanzania hupata mafao haya?

    Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki. Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo: 1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2...
Back
Top Bottom