mafao

  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

    Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !! Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters. Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PSSSF haina ufanisi katika kulipa mafao kwa wakati. Maana ya Rais kuunganisha mifuko haionekani

    Yaani malipo ya wateja ni delays ambazo hazieleweki, ni majuto kufanyakazi na hawa watu kweli, wako na visuti na tai humo efficiency chini kabisa, bado tunapiga hesabu, tunasubiri baada ya uchaguzi, tunalipa kwa awamu hii inamuhusu mteja au big results ndo failure.
  3. Wangooto

    JamiiForums Tanzania Mafao kwa watumishi wa sekta binafsi kusubiri mpaka miaka 55 ni wizi usiovumilika

    MAFAO WATUMISHI SEKTA BINAFSI KUSUBIRI MPAKA MIAKA HAMSINI NA TANO NI WIZI USIOVUMILIKA Utaratibu huu ulikuwepo zamani kwa watumishi wa sekta binafsi kuchukua mafao au michango yao mara tu wanapoacha au kuachishwa kazi. Mwenendo huu uliwasaidia sana watumishi hawa kujipatia kipata kujiendeleza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  7. Mindi

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

    Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.... Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii.... Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020

    Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo. Kuna Habari za kuaminika kwamba fedha hiyo imekopwa kwenda kujengea miradi mikubwa ya Serikali...
  10. denooJ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  11. kisugujira

    JamiiForums Tanzania NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
  12. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa uhalali wa mafao kwa mwanandoa Mwenza

    Naomba kupata ufafanuzi wa yafuatayo, Nina kaka yangu ana mke wa ndoa na wameshaishi na mke wake kwa miaka 30. Huyu bwana anafanya katika taasisi moja ya fedha mjini Mwanza. Bwana huyu ana mwezi sasa tokea astaaf hivyo anasubiria mafao yake. Familia yake iko mjini Tanga ila cha ajabu plan zake...
  13. Heater

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyepata mafao baada ya miaka 7 ya kazi 2019

    Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati. Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert. Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo...
  14. steve111

    JamiiForums Tanzania Kuchukua mafao NSSF mpaka miaka 55?

    Poleni na majukumu wakuu. Nilikuwa nafanya kazi sehem X sasa nimeamua kuacha na kuendelea na maisha mengine, sasa nimeenda NSSF kuchukua michango yangu naambiwa mpaka nifikishe Miaka 55? Hii hatari sana. Wanajamvi hii imekaaje?
  15. U

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania na mzunguko mrefu wa ulipaji mafao

    Habari wanajamvi! Hoja yangu ni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF kuwa na mzunguko mrefu kwa wateja wanaodai mafao yao. Wanachama tumekuwa tukikatwa fedha kila mwezi na mwajiri hivyo hivyo kwa ajili ya kumsaidia huyu mwajiriwa pindi anapokosa ajira, kustaafu, na faidi zingine kama...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea. Viongozi wa vyama vya...
Back
Top Bottom