macho

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dola ikifumba macho CCM inasambaratika

    Natabiri kifo Cha CCM kitatokana na dola kutumba macho. Chama Cha siasa kisichokuwa na wanasiasa kimekufa. CCM inakimbia kwa kasi ya ajabu sana kuikumbatia dola na kuachana kabisa na siasa. Hakuna chama Cha siasa kinachokuzwa na dola, dola inalinda tu kwa kuzingatia matakwa ya amri za mara kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya macho low vision yaliyosababishwa na kuangalia TV

    Ni wiki nyingine tena bado tupo tunapambana na maisha kila mmoja na nyanja zake na humu ndani pamekuwa na somo kubwa watu wanaelimishana na kupata mitazamo tofauti sasa basi naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina kaka yangu mmoja ana matatizo ya macho low vision problen haoni vizuri na...
  3. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta akiri hadharani Big 4 Agenda ni changa la macho

  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan wa Jimbo la Nkasi Kaskazini ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Aida Khenan ametoa msimamo mwingine kuwa hawezi kuwasaliti wananchi waliomchagua kuwawakilisha...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

    Wanabodi, Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nina Glaucoma (Pressure ya macho)

    Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:- Je, inasababishwa na nini inaweza kupona Nini dawa yake kuna tiba mbadala. Nawasilisha
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Macho ya askari yanaangalia nini?

  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

    Wananchi tumekuwa tukilalamika sana kuhusiana na wizi unaofanywa na mitandano ya simu. Mmeziba masikio yenu kwa Vigondo. Hamsikii.Na macho yenu mmeyavalisha miwani ya Mbao. Hamuoni. Airtel kwanza wana utaratibu ambao mimi nmeshindwa uelewa.napotaka kuangalia data bundle iliyobaki sipewi majibu...
  9. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakabidhiwa gawio la Tsh. bilioni 100 kutoka Kampuni ya Twiga

    RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania. Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Utamu wa picha, macho yako

  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya Kukera/Kukereketa yaliyopo katika Klabu ya Simba ambayo TFF, CAF na FIFA iyatolee macho makali

    Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba 1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
  12. tz yetufom

    JamiiForums Tanzania GE2020 Unamuonaje Dkt. John Magufuli, macho yako yanaona kama sisi?

    JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI? Mwendi R.D +255739333332 Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya mambo mengi na makubwa ya kimaendeleo yanayopelekea wananchi wengi ikiwemo wanyonge na wenye hali ya...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

    Natumai hamjambo wananzengo. Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home. Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi kwa CCM nyie mna macho na hekima kweli kweli

    Mabibi na Mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ama kwa hakika wale chama mboga mboga wana hekima na uwezo mkubwa wa kuona mbali zaidi labda kuliko kina sisi. Mabwana hawa kwa hakika ndiyo maana mabingwa wao wanavuna buku 7, 7 kila siku ili wadumu! Hawa mabwana wamesisitiza...
  15. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

    Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
  16. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

    Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

    Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii. SABABU ZENYEWE 1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Waliochangia harusi wapigwa changa la macho, wamekutwa ukumbi umepambwa ila wanaharusi hawakufika

    Ama Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa wageni waalikuwa zaidi ya 150 katika Sherehe ya harusi ya Ephrahim Jonasi na Bisunga Nyabusani ambaye ni mtumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamepigwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kukodolea macho simu za watu

    Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu! Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika! Tuweni wastaarabu jamani
Back
Top Bottom