macho

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TCRA itupieni macho kampuni ya Vodacom kwa kukata fedha za wateja kwa madai mteja kajiunga na huduma fulani wakati si kweli

    TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi. Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia tambueni CAG hajamtuhumu Rais aliyepita amefumbua macho kwake na kwa Rais mpya

    Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika. Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje tungekuwa tunakufa, ila Macho yanaona yanayoendelea, bado tuna uwezo wa Kuongea na Mikono kufanya Kazi?

    Kwa ninavyowajua Marehemu wengine ( hasa Kisaikolojia ) walipokuwa Kamili ( Hai na Kinguvu pia ) kuna uwezekano Waombolezaji tungeumbuliwa nao, tungewambwa ( tungezabwa Vibao nao ) na kuna taratibu zingine tunazowafanyia wangezikataa Mubashara tu kwani wangeona ni Unafiki mtupu na Sanifu tu...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya uume usimame pindi macho yakiuona uke?

    Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke? Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati ya uke na uume? Madaktari tusaidie kujua.
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hawakumuenzi hayati Mwl Nyerere ndio watamuenzi hayati J.P. Magufuli? Yetu macho...

    Hayati baba wa Taifa alipong'atuka na kuliacha hili taifa mikonononi mwa warithi wake kwa namna alivyokuwa hapendi rushwa,ubadhirifu na uzembe hakuna mtu aliyetegemea kuwa litakuja kugeuka kuwa taifa la wanaCcm mafisadi na walarushwa. Mpaka hayati JPM anapewa nafasi ya kugombea CCM ilikuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas, unapigwa changa la macho juu ya Makandarasi wa Maji

    Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji. Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi. Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine. Ni ukweli usiopingika kuwa Makandarasi wabobezi na wanaojielewa hawachukui kazi za Wizara ya Maji...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

    Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen. Natanguliza shukrani.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu, biashara ya photo studio imejaa sana matukio ya ngono

    Well, hii weekend nlienda kwa mshkaji wangu tuliemaliza nae chuo kimoja, yeye baada ya kusota kitaa akajiongeza hakuenda kusoma masters akafungua studio ya picha na maisha yakawa yanaenda. Sasa huyu rafiki hadi leo hajaoa na hua namtania sana aoe aache ubachela umri unaenda na kazi anayo...
  12. kibovu

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya macho Mwanza

    Wakuuuu poleni na majukumu, Naombeni msaada wa hospital nzuri ya macho Mwanza inayotibu kwa bima ya afya, asanteni.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua rangi unayoiona unapofumba macho si nyeusi?

    Inawezekana tusiwe na jina la Kiswahili kwa rangi ambayo mtu huiona anapofumba macho, lakini rangi inayoonekana sio nyeusi Katika Lugha ya Kiingereza rangi unayoiona ukifumba macho inaitwa Eigengrau sio ‘Black’ kwa maana ya nyeusi
  14. canular

    JamiiForums Tanzania Msaada naombeni kujua bei za frem ya miwani ya macho

    Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz. Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Katika Uzi huu taja tabibu za hatari au unazoziogopa ambazo umewahi kushuhudia kwa macho

    Kwenye maisha ya mwanadamu Kuna mapito ya kusisimua Sana Sasa Uzi huu naomba tutaje tabibu za hatari ambazo tumewahi kuziona kwa macho na zinazosisimua na kuogopesha. Naanza na nilizoona Mimi binafsi. 1.Sindano ya katikati ya jicho. 2.Sindano ya mgongo . 3. Sindano ya kwenye kisigino. 4...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

    Habari za boxing day wananchi, Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma. Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ajali si lazima watu waishuhudie kwa macho na ikutoe damu, hii pia ni ajali

  18. S

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

    Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda. Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dola ikifumba macho CCM inasambaratika

    Natabiri kifo Cha CCM kitatokana na dola kutumba macho. Chama Cha siasa kisichokuwa na wanasiasa kimekufa. CCM inakimbia kwa kasi ya ajabu sana kuikumbatia dola na kuachana kabisa na siasa. Hakuna chama Cha siasa kinachokuzwa na dola, dola inalinda tu kwa kuzingatia matakwa ya amri za mara kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya macho low vision yaliyosababishwa na kuangalia TV

    Ni wiki nyingine tena bado tupo tunapambana na maisha kila mmoja na nyanja zake na humu ndani pamekuwa na somo kubwa watu wanaelimishana na kupata mitazamo tofauti sasa basi naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina kaka yangu mmoja ana matatizo ya macho low vision problen haoni vizuri na...
Back
Top Bottom