Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,347
- 11,447
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba
1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa dk zile zike zilizowekwa na FIFA miaka na miaka. Dk 90. This isnt fair.
2. Simba walipaswa wacheze dk angalau basi 120. Najua team itakayokutana nayo italalamika. Team pinzani ziruhusiwe zenyewe kubadili wachezaji mpaka 8 wanapokutana na Simba ktk Dk 120.
3. Simba wachezaji wapya na wa zamani utashindwa kuwatambua. Wote ni kama walikuwa wanafahamiana toka utotoni. Wakati mwingine huwa nawaza pengine kuna lugha wanatumia ambayo wapinzani wao hawaielewi au kuisikia.utashangaa zile passes za visigino, migongo, kichwa zinaenda kwa wahusika utadhani wameambiwa nakutumia mpira huo.
4. Kila mchezaji anayecheza Simba ana vitu vitu mwilini...anaweza piga pass anaweza pokea anaweza piga chenga na anaweza funga.
5. Referees mwangalieni sana Bernard Morrison. Kuna watu either wametumwa au wanamkamia sana kwa rough na ghadhabu.
6. Tanzania imepata bahati ya kuwa na wachezaji ambao wana usomi mbalimbali. Huyu ni wakili msomi, kuna prof Chama, Kuna watu kama Larry Bwalya huyu ni msambazaji mpira ambaye anacheza mpira kama hataki.
7. Naomba tena TFF na FIFA matches za Simba ziongezwe dakika.dk 90 ni chache sana watazamaji tunapunjwa sana.
8. Pia na sisi watazamaji.ni aibu kulipa matches za simba kiwango kile kile tunacholipia Yanga ikicheza na Coast Union. Tuongeze kiingilio.
9. Azam TV wekeni channel maalum kwa ajili ya kuonesha matches za Simba. Na iwe inalipiwa tsh 50,000 kwa mwezi. Mtapata sana pesa. Ni aibu Simba kuoneshwa channel moja na Yanga.
10. Mashabiki wa Simba najiuliza wanakuwa wamesoma shule/chuo kimoja? Wna ustaarabu wa hali ya juu sana.mashabiki wa Yanga wanakaa majukwaa yao hawapigwi hata kwa njiti ya kiberiti. Wanatania wapendavyo na Simba wanacheka nao tu.