macho

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu cha ajabu sana nimekiona kwa macho yangu

    Hapo vip!! Nina imani kuna wataalam mbali humu wanaweza kunisaidia hili. Leo baada ya kuamka asubuhi,katika kuangaza macho huku na kule pale ndani kwangu, niokaona imeandikwa namba 8 chini kwa rangi nyeupe kama ya chaki. Na nina imani hakuna mtu aliyeandika kwasababu week mbili nimekuwa...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle alivutia macho ya wengi Leo kwenye Commonwealth Day iliyofanyika Westiminister

    Malkia aliwategemea Harry na Meghan kuwa mabalozi wake katika nchi za Commonwealth ambazo siku hizi anashindwa kuzitembelea kutokana na umri kusonga mbele. Harry na Meghan wako kwenye ziara yao ya mwisho kama Waandamizi wa wafamilia ya Kifalme.
  4. Uni

    JamiiForums Tanzania Leseni kwa wenye matatizo ya macho

    Habar Wana jamii forum !! Mimi nina swali hivi inawezekana mtu mwenye kuona jicho moja kupata leseni ya udereva ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha daktari wa macho Muhimbili

    Kisa cha kufukuzwa kazi mtumishi wa serikali (anaedaiwa kuchana juzuu) kimenikumbusha kisa cha daktari fulani wa macho Muhimbili mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80. Huyo Daktari alipata scholarship kwenda Ujerumani Magharibi (kusomea taaluma ya macho shahada ya kwanza)...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

    SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari naanza kuiona: Kuwa na viongozi waandamizi waliotumbuliwa wengi huku mitaani. Serikali iwe macho nao!

    Tumbua, teua,tumbua ni dhana njema ya kupanga safu bora ya viongozi. Hawa wanaotumbuliwa wengi wao hawakupenda itokee na wanatoka kwa shingo upande. Kuna RC mmoja wa mkoa mmoja alimlilia mtumbuaji, tena alikuwa Dr. kuwa mimi sijui kazi nyingine ya kufanya, ungenihurumia! Kilio hakikusikika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

    Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
  9. Hero

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi zote ni bendera za Tanzania au macho yangu ndio hayaoni vizuri?

    Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania. Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
  10. mayowela

    JamiiForums Tanzania Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

    Kwenye sanaa kuna mambo mengi ikiwa na uandishi na uchezaji wa maneno, lakini kuna hili limeongezeka wanaita muziki biashara, Kwenye wimbo mpya wa Stamina amecheza karata turufu, tetesi zilizokuwa zikiendelea mtandaoni kuhusu ndoa yake kazitumia kama fursa ya kibiashara kwenye muziki Siku...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Baby zima taa naumia macho!!

    Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli. Msaada uzoefu wenu unasemaje??
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Jinsi watu wanavyoporwa mali zao baada ya mechi kumalizika Uwanja wa Taifa, huku Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikitumbua macho

    " Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko " Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ugonjwa wa macho mekundu umeingia Dar?

    Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho. Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa

    Si jingine ni hili la mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa. Tumefika huku jamaniiii. Zamani ilikuwa unaweza kutoa kwenye 5000 ukapata 4500. Siku hizi ni BUKU MZEE WANAKATA BUKU KABISA. WAMEPANDISHA MARA MBILI. Au mnaonaje wadau...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

    Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi. Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria...
  16. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Wenye pesa zao, haya fahari ya macho hiyo zitambue peni za gharama duniani, achana na Biki na Cello

    Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni. Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na kusoma soma watu wanavyozitumia, ila maamuzi magumu ya namna hii bado sijayafikia.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni macho yangu ama? Bango la Ngorongoro

    Niende kwenye hoja.. Ni hivi kama tunavyojua upekee wa mbuga yetu Ngorongoro na hadhi yake mpaka urithi wa dunia unaitambua. Kwa hiyo hata vitu vyake vinatakiwa viwe na standard za kuridhisha ili ikue na ikue zaidi. Binafsi silidhishwi na standard ya bango la Ngorongoro. Bango hilo ni pendwa...
Back
Top Bottom