macho

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali tupieni macho hospitali ya Machame inatoza shilingi 6000 wanaochangia damu

    Habari ndugu zangu. Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita. Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini Mwanza Julai 21, 2021, chama hicho cha upinzani kimemwaga mpango wake mzima wa kuanzisha vurugu...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya bunge letu lijalo kutupia macho kipengele ndani ya katiba kinachoruhusu mikutano ya vyama kufanyika hovyo hovyo.

    Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
  5. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki na watumishi hewa ilikuwa changa la macho

    Sakata la vyeti feki na wafanyakazi hewa ni moja kati ya suala ambalo lilishika sana vyombo vya habari mwanzoni mwa mwaka 2017. Katika makala haya naangalia kama yalileta matokeo chanya kwa kudhibiti mishahara kwa wasio stahili na mishahara hewa Mwaka 2019 waziri Mkuchika alisema Serikali ya...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kweli Macho Yao Hunena

    Hata bila darubini wanaonekana wapo kwaajili ya watu
  7. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Nionyesheni paka hapa

    Happy sababa day. Kuna vocha hapa zungushia duara ukimuona.
  8. tyc

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

    Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kindi Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Marietha Mushi (62) kwa kumnyonga na shuka, kisha kumpiga na kitu kizito kichwani na kumng’oa macho. Habari zinaeleza kuwa mama huyo alikuwa na ulemavu wa mkono jambo...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fumba macho kombora lipiteeeee

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wanavimba macho

    Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
  11. Tman Clever

    JamiiForums Tanzania SHINDANO: Andika ukiwa umefumba macho

    Chalamila: chalamila Polepole: pilepild Kabudi: kavudi Nadhani wengi nitawashinda
  12. kjembe

    JamiiForums Tanzania Macho kuweka rangi ya kawia na vijikovu kidogo

    Ndugu wana jamii Forums waslaam! nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu, hivyo nilishauriwa kutumia miwani ili kulinda hili moja la kulia. Lakini ninashangazwa na macho...
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao. Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho

    Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia. Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya awamu ya tano kwa awamu ya sita yote chanya na hasi. Kwa uzi huu itoshe kuyaangazia madhara hasi ya...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Prosecutors kuwa macho na defective charge against Sabaya, itasababisha aachiwe

    Haya hayana kificho. Prosecutors wakitaka kukusaidia wanachofanya ni ku-frame charge vibaya..defective charge that can not be cured! Mwenye kuweza apitie charge sheet aone kama inakidhi vigezo viinginevyo wataachiwa hawa watu waovu Charge sheet, is the foundation of the trial. Defective...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ya akina Sabaya na awamu ya tano yasifumbiwe macho

    Awamu ya tano imelalamikiwa sana kuhusiana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watu. Pana watu wengi wameuwawa, wamepotezwa na wengine wamejeruhiwa. Wapo ambao wamefilisiwa, wamenyanyaswa, wako magerezani au mikononi mwa dola hadi sasa kinyume kabisa na utaratibu. Wapo waliokuwa na dhamana za kutoa...
  19. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miwani ya macho

    Habarini wote. Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa. Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro Asanteni
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aina za vyakula vitakavyoboresha uwezo wako wa kuona

    Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
Back
Top Bottom