macho

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho

    Ndugu zangu, Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na kutufanya tuione siku ya leo. Kuna jambo moja hapa nalileta kwenu wadau ili tulifanyie analysis kwa pamoja, ambalo linamhusu huyu dogo, I think you understand whom I'm referring to. Dogo kasema kazunguka sana katika nchi za Ulaya na...
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  3. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Mlo mzuri utakaobadilisha maisha yako ni kujua ule nini asubuhi dakika 20 baada ya kufumbua macho

    Tunapokula huwa hatulishi tumbo bali tunalisha selihai. Unapoamka asubuhi Cell hai nazo huwa zinanjaa. So njaa ya ugali nyama bali virutubisho muhimu. Habari mbaya ni kuwa hata usipolisha selihai hizo vitu sahihi muda huo , zenyewe zitatafuta popote mwilini mibadala kupata hicho kinachotakiwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz ) Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers ) Aliyekuwa...
  5. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola endeleeni kuwa macho. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamedhamiria kuiingiza Nchi katika machafuko ya kisiasa

    Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana! Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili yajifungia kupitia mafaili wataka urais Zanzibar

    Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba za chama hicho. Kamati hiyo ina jukumu la kupitia fomu ya kila mgombea kabla Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM upande wa Zanzibar haijakaa vikao vyake leo vitakavyohitimishwa kesho chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Khalid Gàngana wa TBC na macho ya kijasusi (huenda akawa mwana Eagle House wa pale Puma)

    Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari. Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid Gangana. Jamaa huyu ukimcheki macho yake kwa wale wanaoujua Mambo ya ujasusi utagundua kwamba ni...
  8. Sophist

    JamiiForums Tanzania CCM na Watanzania Kuweni Macho; Jamaa Anajiandaa Kuwatoka

    Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016. Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali itupie macho vituo vya mafuta hapa nchini

    Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta. Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

    Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
  11. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Dkt. Kigwangalla isifumbiwe macho na chama

    Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

    Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla Taarifa yaendelea...
  13. proxy

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata hospital au mtaalam wa kutibu tatizo la macho?

    Habari za mchana wandugu, Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika kitabu huwa anasogeza sana karibu na macho ili aweze kusoma vizuri. Nimempeleka hospital moja ya...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  15. MSHINO

    JamiiForums Tanzania TANROAD Dar mtalipa uhai wa Watu na magari kwa uzembe huu? Au Rushwa imewatoboa macho hamuoni?

    Habari wana jukwaa, Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wanadamu tulipofikia hatuhitaji kurekebisha tena vitu tunavyoviona kwa macho yetu ya nyama

    Wanadamu katika zama tunazoishi tumefikia hatua inayoweza kuharibu kabisa Dunia tunayoishi na kutowesha kabisa kizazi cha jamii yetu.Leo kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mtu mmoja tu anaweza akafanya maamuzi ya kuangamiza na kutisha kabisa. Kama ni uharibifu wa mazingira...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Tuweni macho na hivi vifo vya ghafla ghafla

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi: Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

    Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza. Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    Habari wakuu, Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo? Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
  20. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatufuniki macho kujikinga na Corona wakati virusi vinaweza kuingia kupitia hapo

    Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
Back
Top Bottom