Tanzania yakabidhiwa gawio la Tsh. bilioni 100 kutoka Kampuni ya Twiga

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,476
2,000
RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania.

Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere.

========

Rais Magufuli: Siku za nyuma nilipokuwa nikisema #Tanzania ni tajiri watu walikuwa wananishangaa kwa sababu tulitaka hata kujenga vyoo vya wanafunzi wetu tulitaka mfadhiri

> Akifungua matundu 12 ya choo tunampigia makofi, anachimba matundu kumbe chini pale kuna Almasi

Rais Magufuli: Nawashukuru timu ya maridhiano, chini ya Prof. Kabubi, Gavana na wengine, hawa ndio wamefanya tupate hizi fedha

>Sababu ya unyeti wa mazungumzo ilibidi wakati mwingine walale ofisini, wanakesha wakizungumza, saa nyingine tuliwafungia wasirubuniwe na matajiri

Rais Magufuli: Kupatikana kwa hizi Bilioni 100, nafahamu kama ni uwekezaji wa matrilioni ya pesa, nyie mna 84% sisi tuna 16% pekee lakini faida tunagawana 50% kwa 50%

> Ndiyo tumeanza, najua mtakapopiga mahesabu vizuri zitakuwa nyingi zaidi, naomba na zenyewe zije haraka

Rais Magufuli: Nawashukuru timu ya maridhiano chini ya Prof. Kabudi, Gavana na wengine. Hawa ndio wamefanya tupate hizi fedha

> Sababu ya unyeti wa mazungumzo ilibidi wakati mwingine walale ofisini, wanakesha wakizungumza. Saa nyingine tuliwafungia wasirubuniwe na matajiri

Rais Magufuli: Kufanya mazungumzo na kampuni kama Barrick, it was not [an] easy job! Walikuwa na ma-lawyer, walikuwa na watu wa kila aina lakini waligonga mwamba kwa hawa vijana. Makubaliano haya si mepesi. Mnakuwa na share ya permanent. Ni mkataba wa aina yake wa madini katika Afrika. Ninapozungumza na marais wenzangu wananiuliza: ‘How did you do it?’, ‘How did you manage it?’ – wanashangaa.

Rais Magufuli: Miongoini mwa sababu zilizofanya tusinufaike na Madini yetu ni udhibiti mdogo katika usafirishaji wa Madini ghafi, wizi na utoroshaji wa Madini

> Baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani, tulianza kuchukua hatua ikiwemo kusitisha usafirishaji wa mchanga

Rais Magufuli:
Tumeimarisha Shirika la STAMICO ambalo lilikuwa lifutwe kwasababu halikuwahi kuleta faida. Tuliliwezesha kupata mitambo ya kisasa ya uchongaji

> Kwa sasa STAMICO inakamilisha ujenzi wa mtambo wa kusafisha dhahabu Mwanza ambao utakuwa unasafisha kilo 480 kwa siku

FUATILIA LIVE:
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,699
2,000
Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, the joint venture between the Tanzanian government and Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD)(TSX:ABX), has paid a maiden interim cash dividend of $250 million in line with Barrick’s commitment to generate value for all stakeholders through the 50/50 partnership.

Since Barrick took over the former Acacia Mining’s assets in Tanzania just over a year ago, it has paid approximately $205 million to the government in taxes, royalties and dividends in addition to the first payment tranche under the two parties’ agreement to settle pre-Barrick disputes.

Paskali
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,280

Braza ulishajipotezea sifa, huna la maana tena na unafiki wako, hujisikii aibu kushabikia hao watu wauaji, madikteta, wakandamizaji ambao ulishathubutu hata kuwanyooshea kidole na wakakufanya mbaya?
Leo hii umeamua kuungana na ibilisi?

Aibu yako!

#Niyeye2020
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
2,577
2,000
Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, the joint venture between the Tanzanian government and Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD)(TSX:ABX), has paid a maiden interim cash dividend of $250 million in line with Barrick’s commitment to generate value for all stakeholders through the 50/50 partnership.

Since Barrick took over the former Acacia Mining’s assets in Tanzania just over a year ago, it has paid approximately $205 million to the government in taxes, royalties and dividends in addition to the first payment tranche under the two parties’ agreement to settle pre-Barrick disputes.

Paskali

Juzi nime pokea hisa za twiga kutoka sc zaidi ya laki ambayo sijawahi hata kupokea
 
Mhoza

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
409
500
Kuna watu wanaweweseka na hii habari

Ok sisi tuko Chato tunamsubiria huyu kibaraka wa wabeligiji tumpe dawa.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
35,684
2,000
Ripoti ya makinikia iliyoleta matunda haya,

Mgombea wa Urais kupitia Chadema Bwn. Lisu aliiita takataka.

Sasa ndio mtaona kuwa Lisu hana judgement nzuri, na hafai kuongoza nchi.

Ripoti ya makinikia ilipelekea kupata figure ya $192b, na sio hiyo hela mbouga in mama Tibaijuka's voice.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
24,855
2,000
Mambo Mengine Bado Magumu
Tunangoja Ujio Wa Rais Toka Ng'ambo
Museveni Kutoka Uganda, Ndayishimiye Kutoka Burundi, Chakwera Kutoka Malawi.
 
chikanu chikali

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
1,061
2,000
Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, the joint venture between the Tanzanian government and Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD)(TSX:ABX), has paid a maiden interim cash dividend of $250 million in line with Barrick’s commitment to generate value for all stakeholders through the 50/50 partnership.

Since Barrick took over the former Acacia Mining’s assets in Tanzania just over a year ago, it has paid approximately $205 million to the government in taxes, royalties and dividends in addition to the first payment tranche under the two parties’ agreement to settle pre-Barrick disputes.

Paskali
Tunashukuru kwa gawio Mr Pascal naomba tupe updates za chato maana insemekana ni balaaaaaa
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,291
2,000
RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania.

Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere.

FUATILIA LIVE:
Ni jambo jema!
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,429
2,000
RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania.

Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere.

FUATILIA LIVE:
Hizo ni flyover ngapi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom