maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

    Kwema Wakuu! Sijui anatumia uchawi gani. Sijui anatumia mbinu gani za kimedani. Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja. Kama ni riadha za siasa tunasema Makonda angeshatangazwa ndiye Mshindi kwa sababu tangu aingie kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi na mchango wa watu maarufu katika maandamano ya leo tarehe 24 Januari

    Wasalaam, Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa serikali tawala na hata jamii ya kimataifa. Kwa upekee sana nipende kuisifu serikali tawala na vyombo vya...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu amekublock?

    Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored. Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini? Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu ni Crush wako?

    Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
  7. JamiiForums Tanzania Una namba ya mtu maarufu?

    Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
  8. JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania Maarufu waliofariki dunia mwaka 2023

  11. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  12. JamiiForums Tanzania Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

    Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
  13. JamiiForums Tanzania Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

    Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani Ngasa Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  18. JamiiForums Tanzania Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa. Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au.... Alitaka awe hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  20. JamiiForums Tanzania Post yanye views nyingi hapa Jamii Forums

    Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao. Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile zinazogusa jamii hasa mambo yandani sana ya jamii pia maswala ya siasa huwa yanasomwa sana. Je, wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…