Mchora katuni maarufu "Oscar Makoye"

Feb 6, 2024
40
51
OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA.
______________________

Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti mbalimbali ya udaku na siasa na huyu si mwingine ni "Oscra makoye" ...

Naimani jina hili sio ngeni KWA wafuatilia na wasomaji wa mangazeti ya ''the Guardian"

Brother "Oscra makoye" ndio alikuwa ni moja kati ya wachoraji wa katuni katika gazeti hilo la "the Guardian" Enzi Hizo ..

Mchoraji huyu maarufu naweza kusema Nyota yake ilizindi kung'aa kwenye Tasnia ya Burudani Nchini Tanzania.

Baada ya msanii maarufu wa Muziki Aina ya Hip hop '" joseph Haule" Alimaarufu professor jay .
Kumtaja katika nyimbo yake inaitwa " Yataka moyo"

Professor jay Enzi Hizo akiwa kama msanii maarufu kwenye Muziki aina ya Hip hop aliamua kumpa sifa ama kumpa shavu mchoraji huyu "Oscra makoye" KWA kumtaja kwenye moja Kati ya ngoma zake...
Ngoma hiyo inaitwa "Yataka moyo"

Maana professor jay alikuwa anamuelewa na kuthamini sanaa kazi za mchoraji huyu maarufu "Oscra makoye" maana katuni zake zilikuwa zina elimisha na kuburudisha pia...

Japokuwa Enzi Hizo walikuwepo na wachoraji wengine wakubwa tu . Kama vile masoud kipanya nk...

.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Haya ni Baadhi ya maneno ambayo " Oscra makoye" alizungumza na mimi wakati wa mazungumzo yetu kuhusu ukaribu wake na msanii professor jay Enzi Hizo..

Maana msanii Enzi Hizo hadi afikie amaamuzi ya kukutaja kwenye nyimbo yake sio jambo ndogo ujue ..
Ila KWA Oscra makoye lilikuwa ni jambo rahisi sana kwake...

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.
Maneno ya Oscra makoye..

"unajua Brother enzi zile wasanii wengi walikuwa wakiwa wanakwenda katika kituo cha radio cha "Radio One" kupeleka Kazi zao ama kwenda kwaajili ya kufanyiwa Interview wasanii wengi walikuwa na Desturi ya kupita kwanza kwenye ofisi za magazeti ya The Guardian nilipokuwa nafanyia kazi mimi.

basi hapo ndipo nilikuwa nakutana na wasanii mbalimbali mara kwa mara wengine tulikuwa tunapiga nao stori kidogo wengine walikuwa wanaleta nyodo Sababu ya umaarufu wao nk.

Ila Kwa upande wa Professor Jay nilikutana nae siku moja juu kwa juu .

Nilipiga nae stori nyingi sana kuhusu Muziki wake bila kufahamu mimi ni "Oscra makoye" mchoraji maarufu wa katuni ambaye anampenda kupitia Kazi zake za uchiraji katuni katika gazeti la "the Guardian" Enzi Hizo .

Na siku msanii professor jay alipokuja kufahamu mie ndiye Oscar Makoye mchora katuni ndipo hapo akaniambia anahusudu sana katuni zangu

Nilijisikia faraja sana . Lakini Baada ya muda kupita ndio nikasikia professor jay ametoa wimbo katika album yake na ametaja jina langu."

Kiukweli Enzi Hizo wote tulikuwa ni mastaa,hadi tunaochora katuni magazetini tulikuwa mastaa,siku moja alikuja Eric Shigongo alikuwa ana shida na mimi wakati huo Eric shigongo alikuwa anahitaji kuanzisha gazeti linaitwa "uwazi" ila mimi niwe namchorea vibonzo katika hilo gazeti lake kipya ila KWA Bahati mbaya akazuiliwa na mlinzi getini nje ya ofisi za "The Guardian" nilipokuwa nafanyia Kazi mimi Eric shigongo akaulizwa na mlinzi je? una appointment na Oscar๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ..

Nakumbuka kuna siku nilikutana na Eric Shigongo akanikumbusha tukio hili akafikia hadi uamuzi wa kuandika makala kuhusu mimi"

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
FB_IMG_1709974260292.jpg
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅView attachment 2929206๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Kipaji chake hakina mfanowe. Alikuwa na uwezo wa kutunga mhusika na kichekesho kwa haraka haraka sana.

Lakini nilipokuja kukutana na wasanii kadhaa kutoka Mwanza nikagundua ndugu zetu wana akili fulani zenye uwezo wa ubunifu wa haraka hususani kwenye vibonzo.. Angalieni mkali Marcus Tibasima, kuna mjanja mwingine anaitwa Fredy Ntogwisangu Saganda, kuna John Sombi wote hao line ya Rocky City.

Nina appreciate sana kazi za wasanii na wabunifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom